Mapinduzi ya Uturuki iwe funzo kwa Tanzania

Tandboy

New Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
2
Reaction score
2
Hivi karibun tumeshuhudia mapinduz mbalimbali ktk nchi zinazoendelea. Nawatahadharisha wanasiasa wasifanye maamuz bila kuzingatia matakwa, ridhaa na mahitaji ya wananchi.
 
tanzania hii tunaoongozwa na viongozi wetu wote vipofu mbaya zaidi wanazidi kutuongoza kuingia shimoni.
 
Hivyo vidole ulivyotumia katka typing yako hii vitakuweka mahali pabaya zingatia sheria za mtandao huo ni uchochezi
 
tanzania hii tunaoongozwa na viongozi wetu wote vipofu mbaya zaidi wanazidi kutuongoza kuingia shimoni.
Wanakuongoza wewe mkuu, sisi makamanda tunanajitofautisha tunatafuta nuru na tutaipata
 
Eeeeh yajaribu basi tukuone...
Hadi umesubiri hao kwa ya kabla hukuyajua yaliyotokeaga duniani.. mmmmmmm
Ww unajiita mwanafunzi,huwa unasoma sa ngp? Maana unakesha jamii forums muda wote
 
Sawa ndugu nikiona nataka kusoshialaizi, nitaacha kuingia humu na kwenda disco hata za mchana kama zipo nitazitafuta na bar pia.
 
Hivi karibun tumeshuhudia mapinduz mbalimbali ktk nchi zinazoendelea. Nawatahadharisha wanasiasa wasifanye maamuz bila kuzingatia matakwa, ridhaa na mahitaji ya wananchi.
Mmh mapinduz? Kupindua? Au mapinduz yap unayomaanisha? Eti askar wapindue au mbowe?
 
Nakushangaa mtoto wa kiume ukijisifu kwa sura au wewe ni shoga???ni kawaida yenu mashoga kuwachukia baba zenu by the way mimi ni baba yako mzazi na mama yako amenipenda hivi nilivyo na kama ningekua muoga usingepatikana wewe
Punguza ukali wa maneno mkuu hii ndio jf uwe mvumilivu
 
Back
Top Bottom