Tufanye mbinu zipi ili tufanikiwe kukitoa chama cha MAGAMBA madarakani? Nasema iv sababu naona kila sababu ya kushindwa inatunyemelea.
(1)tumetaka katibu ibadilike na rasimu ishatolewa lakin uelewa wawananchi nimdogo mno sijui nikwa sababu gani imekua ivo.
(2)Mabadiliko kwawananchi kutoka ktk chama kuhamia chama kingine sioni kama inarithisha sababu Baba zetu na Mama zetu na babu zetu na Bibi zetu wa vijijini wengi wanajua MAGAMBA TU je tuwashauri nini CDM ili waweze kuwafikia hawa wote wanao jua bado Baba wa taifa yupo kumbe hatupo nae siku nyingi? af iwabadilshe kadi zao za chama hapo tutakua tumepiga hatua ,au vp wakuu?
CDM tukijipanga vizuri tunaweza kumaliza hili tatizo kabla ya uchaguzi mkuu.
Wakuu ni mtazamo tu.