Nasubiri hilo litokee kama kweli , maana chief kisha kubali matokeo na anajuwa ni kwanini hawezi yeye kusema kitu , dawa yao nikuongeza sungu sungu wengine kutoka mikoa jirani ambao kimsingi wana toa msaada mkubwa kwa wale sungusungu wa chumbani , ili watakapo kuja walazimishaji basi , wapambane na wale wa nje kabla hawaja watokea wale wandani.
Kikulacho ki nguoni nwako..... Wahenga walisema
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]napokea kwa unyenyekevuMkuu mshana Jr, huwa unatoa mafunzo magumu sana ambayo ni ngumu kuyapata vijiweni kwenye kahawa na kashata...
Muumba akutunze ili akina mimi na wale tufaidi aliyokujaaliaa