Mapinduzi NCCR Mageuzi

plz badilisha id,wakurya ni Watu wenye msimamo na siyo mashoga kama wewe,unalidhalilisha kabila langu

Kila kabila lina mashoga inawezekana huyu ndio wa kwenu

Kila kabila lina mashoga inawezekana huyu ndio wa kwenu

Mkuu inawezeka kweli! Thread zake zimekaa kishoga. Nasikia Nape kawapa kazi mashoga wengi sana humu JF.

Waache wafu wazikane, vita vya panzi kama hawa Chadema, NCCR, TLP etc ndiyo furaha ya kunguru CCM. Sasa tunasubiri CHADEMA nao watoane ngeu juu ya Shibuda na Zitto. Yetu (CCM) macho tu.
CCM kama ni ndege wa kulinganishwa naye siyo kunguru, bali BUNDI ambaye akilia mchana ni dalili ya uchuro.

Waache wafu wazikane, vita vya panzi kama hawa Chadema, NCCR, TLP etc ndiyo furaha ya kunguru CCM. Sasa tunasubiri CHADEMA nao watoane ngeu juu ya Shibuda na Zitto. Yetu (CCM) macho tu.
Tena CCM ni makunguru hasaa maana wananchi tunashindwa kuyafuga sasa. hujakosea bwana mwita wa 25

Nilishasema huko nyuma Mbatia aliposhidwa ubunge ni just a matter of time watamngoa.Ukiwa mwenyekiti wa chama na unataka kugombea ubunge utakiwa kuwa certain utashinda hasa kukiwa na wengine kwenye chama nao wanagombea.Kwa mtu ambaye ameweza kushinda kwenye migogoro mingi sijui ni kwa nini hakuliona hilo au labda hakuamini kama Kafulila na wenzake wangeshinda ubunge.

Mbata ni kiongozi uchwara wa mawazo na fikra.Jamani wana CDM hakuna need yakurushiana maneno na awa watu wa magamba coz thz r naked beautz walkn along the street of huliganz.Club yao inaitwa NCCR MAPIMBI.

Mwenyekiti NCCR - Mageuzi, Mwenyekiti TLP, Mwenyekiti UDP. Viongozi hawa watatu wa upinzani hawako kwa maslahi ya wananchi wanaowaongoza, bali wapo kwa kuwadhoofisha wananchi na kujaza matumbo yao binafsi kupitia siasa, hii ni hatari kwa jamii wananchi
tunataka upinzani uwe ni kitu kimoja na kuweza kufikia lengo mwaka 2015 na vizuri NCCR wameshakiona hicho kikwazwo na inatkiwa
viongozi na wanachama wa TLP na UDP nao wawe katika msimamo huo huo hili tuweze kufika pale tunakodhamiria.

Safi sana mkuu

Waache wafu wazikane, vita vya panzi kama hawa Chadema, NCCR, TLP etc ndiyo furaha ya kunguru CCM. Sasa tunasubiri CHADEMA nao watoane ngeu juu ya Shibuda na Zitto. Yetu (CCM) macho tu.[/QUOTE

Kwa sasa inabidi uwe na ROHO YA PAKA kujipambanua kwamba wewe ni mwana CCM.

Waache wafu wazikane, vita vya panzi kama hawa Chadema, NCCR, TLP etc ndiyo furaha ya kunguru CCM. Sasa tunasubiri CHADEMA nao watoane ngeu juu ya Shibuda na Zitto. Yetu (CCM) macho tu.
du kumbe ccm ni kunguru,kageuka lini kutoka kuwa na magamba hadi manyoya!!!??

Huyo jamaa inajulikana siku zote kwamba ni pandikizi la chama cha magamba. Pamoja na huyo wapo Augustino Mrema, John Cheyo, ukiacha wale wanaojitambulisha wenyewe kama Devotwa. Kuna wale wengine waliamua kufunga ndoa kabisa na magamba na inabidi sasa watumie ubini wa magamba. Huko cdm nako yako mapandikizi kama akina shibuda anayejifanya amehama ccm kumbe ametumwa kwa kazi maalum, na yule mmoja kigeugeu wala hajaeleweka lakini pia wamo wengi. kazi bado ipo sana

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom