Mapinduzi makubwa duniani yameletwa na matumizi ya zana za madini ya chuma, ni heri uache vyote ili uchimbe chuma kama unayo

Chuma ndio madini mama duniani, mapinduzi makubwa duniani yameletwa na matumizi ya zana za madini ya chuma, ni heri uache vyote ili uchimbe chuma kama unayo. Tena huna haja ya kutafuta mwekezaji kwenye madini ya chuma chimba mwenyewe.

Taifa lengo malengo litachimba chuma kwanza hata kabla ya dhahabu na nickel. Yaani kwa umuhimu itaanza chuma na kufuatiwa na makaa ya wawe, shaba, bati na dhahabu.

Chuma ndiyo itatumika kutengenezea zana kuchimbia madini mengine na njia za kusafirisha madini mengine.

Inaonekana uchimbaji wa chuma haupewi msukumo mkubwa kwakuwa hauna maslahi kwa viongozi mmojammoja, maana huwezi kuficha kipande cha madini ya chuma kwenye begi lako kama dhahabu na almasi.
Mimi mwenye akili kubwa nimekuelewa
 
Kurudisha viwanda America ni Kazi ngumu sana kwao. Hii itawafanya wamerekani waanze pia kutengeneza bidhaa zenye ubora mdogo ili kushindana na Soko LA bidhaa za China, Korea, Japan, Singapore, Malaysia duniani. Leo hii ukienda kwenye malls za marekani hata wazungu wananunua bidhaa za China zaidi kwakuwa zina bei ndogo lakini zinapendeza ingawa hazidumu. Ukiangalia magari ya Ford, chevrolent na Jeep ya sasa sio kama ya zamani kwa uimara.
Hawa kina Trump na Joe Biden wameapa kugeuza hali hiyo, muda ni mwalimu mzuri wa historia tusubiri mwaka 2050 kama lengo la kauli mbiu zinazofanana za uzalendo za Republican "Make America Great Again " na ya Democrats ya "Buy American" ambayo ni ya Uzalendo-wa-kihafidhina zaidi ya kauli ya Trump wa Republican, zitafanikiwa.
 
Hawa kina Trump na Joe Biden wameapa kugeuza hali hiyo, muda ni mwalimu mzuri wa historia tusubiri mwaka 2050 kama lengo la kauli mbiu zinazofanana za uzalendo za Republican "Make America Great Again " na ya Democrats ya "Buy American" ambayo ni ya Uzalendo-wa-kihafidhina zaidi ya kauli ya Trump wa Republican, zitafanikiwa.
Tumshuru Mungu kutupa Magufuli kama Rais, hata wanaompinga ni wale wasioipenda CCM kwa tabia na historia zake za kuendesha mambo kisultani.

Rais Magufuli amekosa tu watu strong wanaomzunguuka wanaofahamu nini anamaanisha ile wamshauri vema kwenye vipaumbele. Uchimbaji vya chuma, Kilimo, misitu na uchumi wa bahari haviwezi kuketishwa siti za nyuma kwenye mipango yetu. Bado sikubaliani na pesa inayotumika kwenda Dodoma na SGR na ndege badala ya kukuza tehema, kilimo cha umwagiliaji, banndari na meli za uvuvi wa kisasa, chuma na mazao ya misitu. Dunia inhetutafuta tu hata kama haitaki.
 
Back
Top Bottom