Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,956
- 134,037
Unajiuliza Kyombo pale alikuwa anatafuta niniMi nimefikiria pengine wameletwa huku ili wale ambao walikuwa wanadhani wanaonewa wajionee wenyewe
Unajiuliza Kyombo pale alikuwa anatafuta niniMi nimefikiria pengine wameletwa huku ili wale ambao walikuwa wanadhani wanaonewa wajionee wenyewe

Inasikitisha kwa kweliDuuh.. Kwa Hawa wachezaji nikiri Simba hatuna timu dugu zangu..
Huyu kocha wetu mpya ndugu yake na Pele atakuwa anasononeka sana akitazama Hawa pimbi wanavyorukaruka kama maharage yanayochemka![]()