Mapigo yamoyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapigo yamoyo.

Discussion in 'JF Doctor' started by Ntila91, Mar 26, 2012.

 1. N

  Ntila91 Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebahnaee ninapokuwa kwenye maandalizi yasex mapigoyamoyo huenda mbio hadi najishitukia,kuwa ninamatatizo.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Una miaka mingapi?
  Ke au Me?

  Umeoa au ni bf/gf relatioship?
  Mnaonana baada ya muda gani?

  Ukoo wenu mna magonjwa yeyote ya kurithi, kama pumu, pressure and the like.

  Una degedege la mapenzi?
   
Loading...