Mapigano ya makundi ya wahuni Marekani yaua 9

Mapigano ya makundi ya wahuni Marekani yaua 9

Kama umeangalia zile mugshots zao utajua kuwa hao waliokamatwa wote siyo wazungu.

Ila wazungu nadhani wapo wengi zaidi.

Sasa wewe umeziona hizo mugshots zote 170?
Sijaziona Mugshot zote,,, chache mno ila kuna information nimeicopy Wikipedia....ikiwa na maelezo ya Barger wa Hells Angels....soma uniambie ulichoelewa....Naamini katika Biker Club Hells Angels ndio Kubwa zaidi....
Pia hebu nipe sababu ya wewe kuwachukia Bikers Gangs kama sio Racism?

[h=2]Racial policies[edit][/h]The club claims not to be a racially segregated organization,[SUP][58][/SUP][SUP][59][/SUP] although at least one chapter allegedly requires that a candidate be a white male,[SUP][60][/SUP] and Sonny Barger stated in a BBC interview in 2000 that "The club, as a whole, is not racist but we probably have enough racist members that no black guy is going to get in it".[SUP][49][/SUP] At that time the club had no black members.[SUP][49][/SUP]
However there have been black members of puppet clubs, notably Gregory Wooley, a high-ranking member of the Rockers MC in Montreal who was the protégé[SUP][61][/SUP] and bodyguard of Hells Angel boss Maurice Boucher (who had been labeled a white supremacist by the media). Wooley became an associate of the Hells Angels Montreal chapter[SUP][62][/SUP]in the 1990s and later tried uniting street gangs in Quebec after Boucher was imprisoned.[SUP][63][/SUP]
In another interview with leader Sonny Barger in 2000 he remarked "if you're a motorcycle rider and you're white, you want to join the Hell's Angels. If you [sic] black, you want to join the Dragons. That's how it is whether anyone likes it or not. We don't have no blacks and they don't have no whites."[SUP][64][/SUP] When asked if that could change Sonny replied "Anything can change, I can't predict the future".[SUP][64][/SUP] Tobie Levingston who formed the black motorcycle club East Bay Dragons MC wrote in his book that he and Sonny Barger have a long-lasting friendship and that the Hells Angels and Dragons have a mutual friendship and hang out and ride together.[SUP][65][/SUP]
In a 1966 article about motorcycle rebels in the African-American community magazine Ebony, the Chosen Few MC stated that they see no racial animosity in the Hells Angels and that when they come into Chosen Few territory they all get together and just party.[SUP][66][/SUP] A Hells Angel member interviewed for the magazine insisted there was no racial prejudice in any of their clubs and stated "we don't have any negro members" but maintained there have not been any blacks who have sought membership.[SUP][66][/SUP] At one point in the 1970s the Hells Angels were looking to consolidate the different motorcycle clubs and offered every member of the Chosen Few MC a Hells Angel badge, but the Chosen Few turned down the offer.[SUP][67][/SUP]
 
Sababu ni kujihusisha kwao na organized crime pamoja na propensity yao ya violence.
unakwepa tu ukweli, basi ukubali kuna Racisim kubwa sana kwenye Biker Gangs, Kama ambavyo ipo kwenye Blood au Crips na Associate wao,nao wanawabagua wazungu
 
unakwepa tu ukweli, basi ukubali kuna Racisim kubwa sana kwenye Biker Gangs, Kama ambavyo ipo kwenye Blood au Crips na Associate wao,nao wanawabagua wazungu

Usilazimishe mambo wewe.

Mimi napinga biker gangs za rangi zote.

Hata weusi wana biker gangs zao. Walatino wana biker gangs zao.

Kama wewe mawazo yako na fikra zako zote zinazunguka kwenye mhimili wa ubaguzi wa rangi, hiyo ni wewe.

Mimi ninapinga uhalifu bila kujali rangi za ngozi. Wewe kama huwapendi kwa sababu ya racism, hiyo ni juu yako na usitake kunilazimishia sababu zako kwangu.
 
Sijasema nakulazimisha mzee, ila kama kuna Biker Gangs za watu weusi ni chache Mno na hazijulikani kabisa...

Mna tatizo la kutokukubali ukweli hasa pale unapokua unawauma,kama unabaguliwa si ukubali tu!

Sina sababu ya kukulazimisha ila naona unajiyeyusha tu mwenyewe kwa kukataa kitu ambacho kinakuzunguka
 
Kama ni ubaguzi tu huo upo kila sehemu. Hata Tanzania upo.

Wewe umeuliza sababu yangu ya kutopenda hayo magenge ya waendesha mapikipiki. Nimekupa sababu.

Huitaki sababu yangu unataka kunilazimishia sababu yako.

Upumbavu huo.
 
Back
Top Bottom