Zaidi ya watu 5 wamekufa ktk mapigano ya kugombea ardhi kati ya wananchi na mabaunsa wa kampuni ya udalali ya Mwangata huko Mivumoni Tegeta. RADIO1 STEREO
ndio nasikia hapa hiyo habari....mwee....tumeanza kufikia huko Watanzania..... kweli kidogo kidogo ndio mwendo.....nasikia wameshtaki polisi, polisi wakasema acha wauane wamwisho ndio apeleke taarifa...... mabaunsa wanawakaba wanahabari na kuwanyang'anya usafiri....... KUMEKUCHA.....
Hiyo ndiyo fainali ya serikali legelege. Watajitokeza na machozi ya mamba. Nawaunga mkono wanaojitetea kwa kupinga uporaji unaofanywa na wenye ubia na serikali legelege. HIYO NDIYO AMANI NA UTULIVU WANAOUIMBA
Mapigano makali yametokea leo kuanzia saa 3 huko Mivumoni Tegeta watu zaidi ya 5 wamekufa baada ya mabaunsa wa kampuni ya udalali ya mwangata kuvamia na kuvunja nyumba za wakazi. Wengi waliokufa ni mabaunsa. Polisi walipoitwa wakasema waache wananchi wauane wa mwisho atatuletea habari.....
source Radion one breaking News na pia nimepita huko wazo saa 6.30 hivi.
Hiyo ndiyo fainali ya serikali legelege. Watajitokeza na machozi ya mamba. Nawaunga mkono wanaojitetea kwa kupinga uporaji unaofanywa na wenye ubia na serikali legelege. HIYO NDIYO AMANI NA UTULIVU WANAOUIMBA
Hali ni mbaya sana maiti zimetapakaa mashambani kama zile za Genocide kule Rwanda. Wengine wamevunjwa viungo wame lala tu wanasubiri kufa. Huwezi amini kama ni Tanzania tena Dar es salaam karibu na makao makuu ya vyombo vyote vya usalama. Tajiri mmoja amesababisha roho za watu kupotea. JAMNI WATANZANIA.