mapigano ya kiteto polisi wapiga mkwala

mapigano ya kiteto polisi wapiga mkwala

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
Polisi ikiamua kufanya kazi inaweza afisa ngazi za juu wa polisi alitema cheche kuwa akisikia tena mapigano ya wakulima na wafugaji akute barua za kuacha kazi nyinyi polisi wa kiteto msitegemee kuhamishwa mpaka sasa jamii ya wafugaji imesalimu amri kuwambia wakulima limeni tusigombane.
akipatikana mfugaji kaingiza ng'ombe shambani apigwe faini na kuhamishwa
 
Bado hawakamatishwa rushwa hao mara zote mapigano ya wakulima na wafugaji huanza pale ambapo mfugaji analisha mashamba ya wakulima, mkulima akikamata ng'ombe na kuripoti kituo cha polisi mfugaji akifika anatoa rushwa na kuachiwa baada ya hapo mkulima huonekana kama ----- na mfugaji hujiona yuko juu ya sheria. Hapo ndipo mapigano yanapo anzia siku zote!
 
Polisi ikiamua kufanya kazi inaweza afisa ngazi za juu wa polisi alitema cheche kuwa akisikia tena mapigano ya wakulima na wafugaji akute barua za kuacha kazi nyinyi polisi wa kiteto msitegemee kuhamishwa mpaka sasa jamii ya wafugaji imesalimu amri kuwambia wakulima limeni tusigombane.
akipatikana mfugaji kaingiza ng'ombe shambani apigwe faini na kuhamishwa
Mgogoro huu ni mkubwa sana.Unachochowa na wanasiasa wa ndani na nje ya kiteto kwa maslahi ya kikabila.Serikali wakiwa wakweli mgogoro hu utakwisha ila kwa kulindana hautaisha katu.
 
Back
Top Bottom