Mapenzini na mtu wa mtu.

Mapenzini na mtu wa mtu.

Kitakachotokea nini?
Malizia basi??
Nothing, we kale raha tu usiweke moyo wako, make mkimaliza anarudi kwa mke wake, anaweza kukudanganya danganya ooh mke wangu simpendi ooh ilitokea bahati mbaya ooh naomba unizalie ujue wote huo ni uongo tu gia za kuombea papuchi mwambie fwara usiniambie habari za mkeo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom