Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Naingiza kule kwingineWewe ili ukashike mguu ama??
Naingiza kule kwingineWewe ili ukashike mguu ama??
Mi sijawowa bana, vp nisogee!?[emoji15][emoji15]Humu wengi mmewowa
Tigo sitoiNaingiza kule kwingine
IliMi sijawowa bana, vp nisogee!?[emoji15][emoji15]
Unamechi na mme wa mtu? Hebu toa location katika google map nikufuate
Wewe ili ukashike mguu ama??
Nisogee tu, mengine baadae[emoji15][emoji15]
Tigo sitoi
Natoaga kabisa nakumzaba kibao cha nguvu.Kwa maneno sawa lakini ukiwa kwenye mechi lolote linaweza kutokea
Natoaga kabisa nakumzaba kibao cha nguvu.
Nimekunywa kila taka taka hata banan matapu tapu yaani k vant zanzi napiga kama maji ya kilimanjaroHahaaa! Ukinywesha Zanzi mixer K- vant
Nimekunywa kila taka taka hata banan matapu tapu yaani k vant zanzi napiga kama maji ya kilimanjaro
Yaaani gongo hakuna kitu sijui chochote mix leta napiga vyote nimewahi kupiga bangi na k vant na bado safari saba nikaanza kuvua nguo zote nikae vizuri nishushe na jingine.
Sio mimi chie ee arifu na wangu papalaiaDada huyo mume wa mtu uache tu
Totopaki unakumbuka plisner je taska je unakumbuka sigara ya sport na ile yenye kasha lakijani unajua hiloHahaaa! Ukinywesha Zanzi mixer K- vant
Eh tulichanganya na zanzi ikawaka motoAcha kujisifia ulishonja gongo ile namba 1 ambayo inawaka kama petrol?
Totopaki unakumbuka plisner je taska je unakumbuka sigara ya sport na ile yenye kasha lakijani unajua hilo
Jina ni jina kula vyote sio kuwa mzee na pia mazoea na wewe sipendi kwa maana wewe nikatoto kanakovaa nepi za mikojo naongea na defenders sio boda boda za kichinaBadilisha jina andika Kabibi mkomao
Mume wa mtu ana masharti kama mganga wa kienyeji...... Akifika home kwake usimpigie wala kumtumia meseji mpaka aanze(upuuzi wa Hali ya juu), anakuona wewe kiraka chake kwa kifupi ukidate na mume wa mtu ni tabu juu ya tabuNasema tu jamani toeni experience
Msiwe wachoyo
Jina ni jina kula vyote sio kuwa mzee na pia mazoea na wewe sipendi kwa maana wewe nikatoto kanakovaa nepi za mikojo naongea na defenders sio boda boda za kichina
Ila wanawake ndio wanadharauliwa sindio pole zako .Mwanaume huwa hadharauliwi!