shasil alonso Member Joined Mar 12, 2013 Posts 27 Reaction score 1 Mar 15, 2014 #1 Mapenzi karaha apendwae hana raha
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Mar 15, 2014 #2 Ndio maana yakaitwa mapenzi
Eshy m.s JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 2,926 Reaction score 1,561 Mar 15, 2014 #3 Mapenzi matam kama ukimpata anaekupenda!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,461 Reaction score 829,856 Mar 15, 2014 #4 shasil alonso said: Mapenzi karaha apendwae hana raha Click to expand... Hizo ni swaga tu hata kwenye kanga zipo...!
shasil alonso said: Mapenzi karaha apendwae hana raha Click to expand... Hizo ni swaga tu hata kwenye kanga zipo...!
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Mar 15, 2014 #5 Mh mapenz mepesi kuyatamka lakini mziki wake simchezo.
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,235 Reaction score 13,539 Mar 15, 2014 #6 mkiva said: Mh mapenz mepesi kuyatamka lakini mziki wake simchezo. Click to expand... Hapo umenena kweli kamanda wangu!
mkiva said: Mh mapenz mepesi kuyatamka lakini mziki wake simchezo. Click to expand... Hapo umenena kweli kamanda wangu!
Ladymasa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 877 Reaction score 335 Mar 16, 2014 #7 mapenzi ni nini? tasavwali
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Mar 16, 2014 #8 Mapenzi ni kitovu cha uzembe
Catherini JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 390 Reaction score 154 Mar 16, 2014 #9 Mapenzi raha kama Raha za Tanga
F fidelis zul zorander JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 687 Reaction score 179 Mar 16, 2014 #10 Catherini said: Mapenzi raha kama Raha za Tanga Click to expand... mapenzi bongo!! mapenzi kwa wahindi au ufilipino
Catherini said: Mapenzi raha kama Raha za Tanga Click to expand... mapenzi bongo!! mapenzi kwa wahindi au ufilipino
Mpitagwa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 2,338 Reaction score 1,126 Mar 16, 2014 #11 shasil alonso said: Mapenzi karaha apendwae hana raha Click to expand... fidelis zul zorander said: mapenzi bongo!! mapenzi kwa wahindi au ufilipino Click to expand... Unadanganywa na maigizo mkuu huko ulikotaja ndoo ubakaji na ufuska uliokubuhu. No mapenzi
shasil alonso said: Mapenzi karaha apendwae hana raha Click to expand... fidelis zul zorander said: mapenzi bongo!! mapenzi kwa wahindi au ufilipino Click to expand... Unadanganywa na maigizo mkuu huko ulikotaja ndoo ubakaji na ufuska uliokubuhu. No mapenzi
Catherini JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 390 Reaction score 154 Mar 16, 2014 #12 fidelis zul zorander said: mapenzi bongo!! mapenzi kwa wahindi au ufilipino Click to expand... Kaa hivohivo ukisubiri ya akina Ynnah na Angelo, wenzio tunafurahi hapa bongo.
fidelis zul zorander said: mapenzi bongo!! mapenzi kwa wahindi au ufilipino Click to expand... Kaa hivohivo ukisubiri ya akina Ynnah na Angelo, wenzio tunafurahi hapa bongo.
Catherini JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 390 Reaction score 154 Mar 16, 2014 #13 Mpitagwa said: Unadanganywa na maigizo mkuu huko ulikotaja ndoo ubakaji na ufuska uliokubuhu. No mapenzi Click to expand... Mpitagwa............! Utwakukwinyu?
Mpitagwa said: Unadanganywa na maigizo mkuu huko ulikotaja ndoo ubakaji na ufuska uliokubuhu. No mapenzi Click to expand... Mpitagwa............! Utwakukwinyu?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Mar 17, 2014 #14 Catherini said: Mpitagwa............! Utwakukwinyu? Click to expand... ndio kiwapi hiki?
B boucher New Member Joined Dec 4, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Mar 24, 2014 #15 Kwann yawe karaha wkt kupendwa raha
roma mnazarety Member Joined Dec 5, 2013 Posts 94 Reaction score 15 Mar 24, 2014 #16 Mapenz india bongo biashara
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,800 Reaction score 16,817 Apr 7, 2014 #17 roma mnazarety said: Mapenz india bongo biashara Click to expand... sisi tungezaliwa???
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Apr 8, 2014 #18 Mmh apendwae hana raha kivipi
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,610 Reaction score 64,457 Apr 8, 2014 #19 Niitie baba yako kuna kitu nataka aniambie.
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 Apr 8, 2014 #20 Mapenzi matamu ila watumiaji hawajui