shasil alonso
Member
- Mar 12, 2013
- 27
- 1
Mapenzi karaha apendwae hana raha
Hizo ni swaga tu hata kwenye kanga zipo...!Mapenzi karaha apendwae hana raha
Mh mapenz mepesi kuyatamka lakini mziki wake simchezo.
Mapenzi raha kama Raha za Tanga
Mapenzi karaha apendwae hana raha
mapenzi bongo!!
mapenzi kwa wahindi au ufilipino
mapenzi bongo!!
mapenzi kwa wahindi au ufilipino
Unadanganywa na maigizo mkuu huko ulikotaja ndoo ubakaji na ufuska uliokubuhu. No mapenzi
Mpitagwa............!
Utwakukwinyu?
Mapenz india bongo biashara