Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,687
indeed! And proud of it!
mkwe utamliza ujue..
indeed! And proud of it!
indeed! And proud of it!
mkwe utamliza ujue..
hahaha! Am sorry baby... Usije ukamwaga chozi mpenzi. Lol
Hahaha hata wewe loh!
jipake masinzi best
anza wewe maana wote mule mule tu!
Ambao washadate hao weupe waseme! Wengine tunapenda vitu blakiiiiii.
aaa wapi mwanamke akiwa white ananogesha bwana ila wewe unaadvantage moja.....
I second u
Yaani huyu mkweo anilize mimi, kwa jinsi anavyonigwaya.
Hivi karibuni kuna dem aliniambia eti wanaume weupe hawajui mapenzi japo nilishangaa sana Sasa nimeona nije hapa jukwaani kuuliza je jambo hili ni la kweli?basi karibuni kwenye mjadala.
advantage ipi hiyo....???
unataka niseme humu???watu wakupm?
aafu najua kinachokuliza wewe ni kuachiwa bill tu ulipe. Mbona haufiki? Niko bel monte, njoo si unajua wine hapa buku 7 glasi?
Sema tu mpendwa, PM kitu gani bhanaa...
hayo macho ingekuwa enzi zangu ningeyagegeda
chekelea basi