Mapenzi

Afu hiyo picha ya ubarikio, kaiweke sehemu nzuri
Hapa itapotea.

Back to Topic
Hii topic umeshikiwa mtutu kuileta?
Au umekurupuka?
 
masikini... ndio post yake ya kwanza. hahahaha
hata mimi post yangu ya kwanza ilikua soo
lakini nilisubiri miezi kadhaa kabla ya kuleta thread...
 
huwa ni afadhali kutulia na kujifunza mbinu za mchezo.

Sababu unakuwa hujui hata edit button ni ipi. Yaani full mazingaombwe.

Ndio hivo. Bahati yangu nilipokelewa na AshaDii na Aspirin (wote waelewa)
wakanionesha njia ya jukwaa la utambulisho, wakanikabidhi kwa Katavi!
NIlisubiri kama miezi mbili ndio nikapost thread ya kwanza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom