First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484

Hapo kwenye kinyongo acha tu. Mpaka utibu majereha yaishe kuna gharama

Mapenzi kidhungu dhungu.

Mapenzi hayatakiwi kuendekezwa.kazi kweli kweli.

thatha mbona watu wanayalilia?

mapenz matam mapenz matam... Maneno ya banana zoro hayo.

yule mkubwa, yule mdogo..,

Maneno ya Jide hayo.
Hayatibiki aisee!

Hivi kwanza huwa yanatibika?

maisha ni karata kuakupata na kukosa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ukikosa jaribu tena...................................a game of chance? You can say that again...............................

hahahaha! First born hili lisredi lisije likawa la fre style. Lol.

B2T: Mapenzi hayatabiriki. Yupi mkweli yupi muongo huwezi kujua. Kikubwa kama unahisi moyo wako umempenda flani, mpende bila kuhofu kutendwa. Hizi hofu tunazozijenga ndio huwa chanzo kikubwa cha usaliti maana tunapenda robo robo tukihofia kutendwa.

sasa ukitendwa dawa ni nini?

sema sema first born.mapenzi yanaleta furaha,unajihisi umeshiba hata kama hujala kitu,yanaleta huzuni,yanaleta ugonjwa ambao huwezi jua unaumwa nini,yanakufanya ujihisi wewe ni wewe tu,ila ikila kwako unajihisi why me

Lakini ukweli si unabakia palepale kuwa hatuwezi kuacha kuwa na wasiwasi.