Mapenzi yashanikera

Status
Not open for further replies.
Huyo mwanamke ana kichaa cha aina fulani na kuzaa na mtu kama huyo ni fedheha. Inakuwaje ana mtu ameilea mimba, analea mtoto aliezaliwa na pango analipia na bado unakutana nae anaanzisha varangati kuwa ulimtelekeza na kukusanya kikao cha ndugu wasuluhishe? Anataka nini? Ana matatizo gani ya akili?
 
mkipata wanawake wema mnawatenda, viruka njia ndio wanawafaaa
 
"..Pole sana mkuu i kno how u feel, this is painful serious in u 're heart simama kiume na life still goies on my brother"
 
Wanawake wa hivi mnawatoaga wapi? Mbona majanga.
 
Kuna mambo yanakera mda mwingine mpaka unasema hii. Pole sana najua ulifanya kwa kumuhurumia mtoto. Ila siku nyingine uwe makini sana
 
kweli mapenzi yamekuvuruga mkuu, pole sana
 
Hivi kwanini wanawake wanapenda sana hii tabia ya kubambikiza?

Kwanini wasimkubali Baba wa yule mtoto hata kama hana kitu/majalala?

Mtoto anahitaji malezi ya Wazazi wake wote wawili.

Na hili tatizo ndilo linalosababisha watoto wengi kutokuwa na Baba.

Na wahusika wanashindwa kusema ukweli, matokeo yake wanaongopa Baba wa mtoto alikuwa mkorofi, tokea tulipoachana hatujatafutana.

Wengine wanaongopa Baba wa mtoto alifariki.

Na visababu vingi sana vya kutetea uovu wao.

Kumbe ukija kwenye ukweli Waliowabambikizia waligutuka.

Mbaya sana
 
Ukitaka kuish maisha mazuri katika mahusiano kuwa ka boda boda, wewe ni wa kwenda mbele tu haina reverse
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…