Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Sep 12, 2016 #41 KARANJA 007 said: Wewe leta utani tu,dawa yako iko jikoni,nakuendea Bagamoyo kwa mganga wa jadi,shuri yako mamii. Click to expand... Huna haja ya kwenda kwa mganga... Hela zako ni uganga tosha
KARANJA 007 said: Wewe leta utani tu,dawa yako iko jikoni,nakuendea Bagamoyo kwa mganga wa jadi,shuri yako mamii. Click to expand... Huna haja ya kwenda kwa mganga... Hela zako ni uganga tosha
angelita JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 3,017 Reaction score 2,445 Sep 12, 2016 #42 KARANJA 007 said: Mamii tatizo niko nchi za watu nasafisha vyoo ,ningekurushia fasta yaani ili nipone nione raha. Click to expand... Basi imekula kwako.
KARANJA 007 said: Mamii tatizo niko nchi za watu nasafisha vyoo ,ningekurushia fasta yaani ili nipone nione raha. Click to expand... Basi imekula kwako.
ContinousImprovement JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 290 Reaction score 284 Sep 12, 2016 #43 angelita said: Mimi nawashangaa Sana nyie watu mbona wapo wasiopiga vizinga au hamuwaoni??? Acheni kuparamia msivyoviweza mnataka vitu vikubwa vya mamilioni wakati unajijua wewe wa 1000. Click to expand... Acheni sifa za kijinga. Kwa kipapi gani hata tutoe milioni? Hivi wanawake mnajua kuwa mnazeeka haraka? Mnachoka haraka? Mnaisha ladha haraka? Kuweni waungwana.
angelita said: Mimi nawashangaa Sana nyie watu mbona wapo wasiopiga vizinga au hamuwaoni??? Acheni kuparamia msivyoviweza mnataka vitu vikubwa vya mamilioni wakati unajijua wewe wa 1000. Click to expand... Acheni sifa za kijinga. Kwa kipapi gani hata tutoe milioni? Hivi wanawake mnajua kuwa mnazeeka haraka? Mnachoka haraka? Mnaisha ladha haraka? Kuweni waungwana.
shushushu_mchokozi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 405 Reaction score 265 Sep 12, 2016 #44 Smart911 said: Hajakutajia aina ya zawadi... kwa hiyo mpelekee hata gazeti la udaku... Click to expand... Hahahahahaha
Smart911 said: Hajakutajia aina ya zawadi... kwa hiyo mpelekee hata gazeti la udaku... Click to expand... Hahahahahaha
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,059 Sep 12, 2016 #45 angelita said: Mimi mpiga mizinga hatari na siyo ya kitoto, Kama Una mkwanja mrefu usio wa mawazo karibu tubonge Click to expand... Wapiga mizinga hawajitangazi, ila gusa unate. Utajuta watakavyokupelekesha, ndio maana die wenye pesa za mawazo tumeamua kukubali yaishe tu.
angelita said: Mimi mpiga mizinga hatari na siyo ya kitoto, Kama Una mkwanja mrefu usio wa mawazo karibu tubonge Click to expand... Wapiga mizinga hawajitangazi, ila gusa unate. Utajuta watakavyokupelekesha, ndio maana die wenye pesa za mawazo tumeamua kukubali yaishe tu.
K KARANJA 007 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 5,990 Reaction score 2,521 Sep 13, 2016 #46 angelita said: Basi imekula kwako. Click to expand... Daah basi itabidi nijinyonge mamii,mrembo kama wewe kunitupa mkono.
angelita said: Basi imekula kwako. Click to expand... Daah basi itabidi nijinyonge mamii,mrembo kama wewe kunitupa mkono.