napenda hao mademu maana inanilazimu niwe na si chini ya elf 50 mfukoni ili akihitaji ya kusuka 25 elfu nampa 35 nyingine nauli basi maisha yanasonga hakuna bure kwenye raha wewe ukiona yamekushinda nenda kwa students hao hawana gharama kabisa
Zawadi sio kizinga mbebee ata apple, ua, ice cream, juice vitu vidogo dogo tu mtu anaridhika kizinga ni kile mtu anakwambia baby nina shida ya lak 5 acha kulia lia kama vip tembea na wanafunzi au housegirl
Angelita mrembo,hebu nioneshe hao ambao wasio piga mizinga tafadhali,tena unitumie namba zao kwa PM,maana kila siku nafilisika tu,nikiinuka tu wananimaliza mamii.
Angelita mrembo,hebu nioneshe hao ambao wasio piga mizinga tafadhali,tena unitumie namba zao kwa PM,maana kila siku nafilisika tu,nikiinuka tu wananimaliza mamii.
Mamii kwangu inakuwa ngumu kuachana na mapenzi,nikiacha tu napungukiwa maji mwilini,pesa nazo zinapote mamii,ila nikirudia mapenzi tu pesa nazo varuvaru zinajaa.
Mamii kwangu inakuwa ngumu kuachana na mapenzi,nikiacha tu napungukiwa maji mwilini,pesa nazo zinapote mamii,ila nikirudia mapenzi tu pesa nazo varuvaru zinajaa.