Sasa mwanangu hata Big Boom ya mia mbili inakushinda??
wanawake wanatekwa na vitu vidogo vidogo,
Akikwambia zawadi usifkirie ni ile ya milioni,
Yani unaeza ukamletea hata apple akaridhika
Dah...Kizinga ndiyo thamani ya mwanamke.....kila mmoja na bei yake....na bei inategemea na hitajiko lake sokoni....hujawahi kusikia buy 1 and get 2 free? Hii hutokea pale bidhaa unapokosa thamani sokoni....pale inapokuwa imepitwa na wakati au inakarbia Ku expire...
napenda hao mademu maana inanilazimu niwe na si chini ya elf 50 mfukoni ili akihitaji ya kusuka 25 elfu nampa 35 nyingine nauli basi maisha yanasonga hakuna bure kwenye raha wewe ukiona yamekushinda nenda kwa students hao hawana gharama kabisa