Mapenzi yanaumiza

tunahuruma sana aseee unashanga ghafla upendo umerud kwa dear X
Mnatutesa sasa sie tuliowahurumia kwa ujinga wenu, na mwisho mwaka huu mwakani mtaongezeka sana masingle maza😣
 
Watu tumepambana hapa kutoa ushauri lakini si ajabu Dorcas21 alisharudi kwa baharia wake. Mapenzi bwana

 
Only time can heal broken hearts.. Lakini kwakuwa binadamu tumeumbiwa kusahau utapenda tena
 
Mkuu Pole Sana Ila Atakutafuta Aje Kukuoa Usikate Tamaa Kuna Muda Binadamu Ukengeuka.
 
Kumsahau mtu unaempenda sio rahisi kabisa.....Muombe Mungu akupe mtu atakaekupenda hapo utajifunza pia kumpemda na kumsahau huyo wa nyuma

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Fungua moyo mama kipenda roho hula nyama mbichi...sio wako tuu fungu vitabu vya historia uniambie mfalme suleiman alikua na wanawake wangapi na wengine wengii cha msingi stay focused on your decision kama kweli umeamua
 
Tafuta mwingine, utamsahau pole sana, mapenzi yanauma ukisalitiwa pole sana
 
Huu mtego utawanasa tu japo mwandiko wako wa kiume huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…