Mapenzi yanaumiza

Mimi nkiona mwanamke analialia huku kwa kuumizwa nafarijika mnoo maana nyie ndo hamnaa jema kabxaa..bora niwe Saddist kweny hili
 
Una matatizo. Deal with ya problems first, sawa ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
30yrs na hakuna ndoa, jiongeze kaa pembeni ingawa ni ngumu mwanamke kutafuta mwenza ila jitahidi upate wa kufanya nae maisha
 
Pole, tatizo lako unahofia umri wako. Umri sio kitu ila ni namba tu.

IPO siku utaenda buchani utakutana na dogo anatabasamu LA panya, utaanza kucheka tena na kusahau yaliyopita...

Be humble, dunia Mapito tu

Sent from my Infinix X559 using JamiiForums mobile app
 
Pole, Ila hivi inakuwaje hadi mtu anaumizwa na mapenzi?? Binafsi akili yangu ikinipa signal za awali tu kuwa kwenye mahusiano niliyopo kuna kitu hakipo sawa, muda huo huo huwa naanza kusuka mikakati ya plan B, Mwisho wa siku mimi ndio najikuta nimeacha kabla ya kuachwa.
 
Usijiapize kuna watu wanarogwa, achana kurogana kwa kunyonyana mikundu, watu wanafunikwa wanakuwa machizi mapenzi....

Omba mungu yasikukute

Sent from my Infinix X559 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nikupe pole kubwa sana dsdangu. Mm ni mwanaume nafikiri mm pia ni malaya sababi nina girlfriend mmoja kando ya mke wangu.

Sasa nirejee kwenye uzi wako, ipo hivi naturally all men are polygamy hivo hauwezikupata mwanaume atakuwa na ww peke yako, labda ufanye kazi ya ziada kubwa sana then unaeza kumuwin vizuri. Ila si kwa hivi ulivyo.

Mapenzi sio sawa na 1+1=2 kuna mda jibu ni 11 hivyo unatakiwa kujifunza kila inapoitwa leo, na kila siku jifunze kumsamehe mwanaume wako. Wanaume ndivyo tumeumbwa
 
Mkuu wote tunaanzia chini, kinachoanzia juu ni kaburi...

Jipe muda utasahau hayo yote, next time ukiingia kwenye mahusiano utakuwa pro max...

Lakini kuumia lazima uumie, kubaliana na hilo...

Mapenzi ni ugonjwa wa Akili...
 

Njoo kwangu
 
Dada na mimi nimeumizwa na mwanamke kama wewe sina hamu hapa.Njoo tuponyane maumivu ikipendeza tuoane kabisa
Watu wenye maneno kama haya yaani kaa nao mbali maana huyu ndio atakuvunjavunja kabisaa akumalizie 🤣🤣🤣
 
Welcome to my PM,I'm a psychologist, so I will heal your wounds.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…