mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,896
- 3,660
Jaribu kumuomba ushauri ndugu BASHITELicha ya kwamba nilimpenda, kumjali na kumbembeleza kwa miaka sita mfululizo hakutaka witness hakutaka kabisa kuelewa hisia zangu kwake! Hatimaye baada ya rafiki yangu aitwae frank kunitembelea akamuona mtoto mzuri witness na kuamua kumtongoza, huwezi amini! Ilimgharimu frank dakika tano pekee kuweza kumshawishi witness wafanye mapenzi na kukubaliwa.sasa frank anataka nimuachie ufunguo wa chumba tunachoishi ili wafanye lile tendo pendwa! Kwa kweli lazima nikiri, nimeumia na kufadhaika mno,kwani witness nilimpenda na bado naendelea kumpenda. Je, wadau mnanishauri vipi hapo? Nimuachie jamaa chumba au niache maana sielewi cha kufanya kutokana na hii hali.
Licha ya kwamba nilimpenda, kumjali na kumbembeleza kwa miaka sita mfululizo hakutaka witness hakutaka kabisa kuelewa hisia zangu kwake! Hatimaye baada ya rafiki yangu aitwae frank kunitembelea akamuona mtoto mzuri witness na kuamua kumtongoza, huwezi amini! Ilimgharimu frank dakika tano pekee kuweza kumshawishi witness wafanye mapenzi na kukubaliwa.sasa frank anataka nimuachie ufunguo wa chumba tunachoishi ili wafanye lile tendo pendwa! Kwa kweli lazima nikiri, nimeumia na kufadhaika mno,kwani witness nilimpenda na bado naendelea kumpenda. Je, wadau mnanishauri vipi hapo? Nimuachie jamaa chumba au niache maana sielewi cha kufanya kutokana na hii hali.
Ha ha ha domo limejaa ujiLicha ya kwamba nilimpenda, kumjali na kumbembeleza kwa miaka sita mfululizo hakutaka witness hakutaka kabisa kuelewa hisia zangu kwake! Hatimaye baada ya rafiki yangu aitwae frank kunitembelea akamuona mtoto mzuri witness na kuamua kumtongoza, huwezi amini! Ilimgharimu frank dakika tano pekee kuweza kumshawishi witness wafanye mapenzi na kukubaliwa.sasa frank anataka nimuachie ufunguo wa chumba tunachoishi ili wafanye lile tendo pendwa! Kwa kweli lazima nikiri, nimeumia na kufadhaika mno,kwani witness nilimpenda na bado naendelea kumpenda. Je, wadau mnanishauri vipi hapo? Nimuachie jamaa chumba au niache maana sielewi cha kufanya kutokana na hii hali.
unaitwa joseph??nimekukamataaaaaLicha ya kwamba nilimpenda, kumjali na kumbembeleza kwa miaka sita mfululizo hakutaka witness hakutaka kabisa kuelewa hisia zangu kwake! Hatimaye baada ya rafiki yangu aitwae frank kunitembelea akamuona mtoto mzuri witness na kuamua kumtongoza, huwezi amini! Ilimgharimu frank dakika tano pekee kuweza kumshawishi witness wafanye mapenzi na kukubaliwa.sasa frank anataka nimuachie ufunguo wa chumba tunachoishi ili wafanye lile tendo pendwa! Kwa kweli lazima nikiri, nimeumia na kufadhaika mno,kwani witness nilimpenda na bado naendelea kumpenda. Je, wadau mnanishauri vipi hapo? Nimuachie jamaa chumba au niache maana sielewi cha kufanya kutokana na hii hali.
Yeye hajui kinachoendelea kati yangu na witness, isitoshe ni mdau wangu wa nguvuUnapigwa EXILE jitahidi basi kupunguza udhaifu izuie hata hiyo exile na ushikie panga Frank asikuzingue
Hahaha witness kaja hahaha kumbe ni wa humu humu[emoji23][emoji23][emoji23]unaitwa joseph??nimekukamataaaaa
Mh! Hapana.unaitwa joseph??nimekukamataaaaa
Sawa lakini lazima ukweli usemwe.we jamaa hz post zingine ni kujishusha hadhi tu.... kama vp mpigeni mtungo..!
23 years oldHow old are you mkulu senkondo?
basi mm ndo frank aseeeh!njoo pm tuelewane haraka!Mh! Hapana.