To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,167
- 34,304
Ha haaa,nimeona kakosa kampan kijana🤣🤣🤣🤣🤣Nimefika na 🍿🍿zangu
Comments fupi fupi please

😂😂😂Ila nainjoi na comments za huu Uzi Jamani.. ahsante kwa tag bana🤗Ha haaa,nimeona kakosa kampan kijana
Ha haaa,usihame kigenge tafadhali....tupo kufurahisha hapa.Maunda Zoro alijua Leo ataiona ivo tafadhali jitengenezee furaha wakati huu ulionao cute😂😂😂Ila nainjoi na comments za huu Uzi Jamani.. ahsante kwa tag bana🤗
Sihami nipo nimeweka kambi na tent langu pembeni..Kwakweli tufurahi tu..dunia yenyewe yetu Sasa!!!...hakika umenena vyema mdada mzuri mzuri..Ha haaa,usihame kigenge tafadhali....tupo kufurahisha hapa.Maunda Zoro alijua Leo ataiona ivo tafadhali jitengenezee furaha wakati huu ulionao cute
Utamu wa ngoma uingie ucheze... Embu ingia ndiyo utajua...Game is over.Umezoea kula nn kwan...wali wa naz? Mi nataka anaekula ugali wa unga wa ulez au dona...
Kwa kweliUtamu wa ngoma uingie ucheze... Embu ingia ndiyo utajua...
Mambo madogo tu hayo, bora hajakuambia na umejua basi jitengenezee mazingira ya kutokuumia, ukijiendekeza utakuja kufuta na kamasi hapa mkuu
Kingine swala la kurudishiwa gharama ni uzembe mkuu, mbona watu wanahongana magari na mijengo na wanaachana tu bila shida, wewe pesa kidogo tu urudishiwe??? Kwani ilikua ni mahari??? Ata kama ni magari enyewe ukiamua kumtema mtu tema kila kitu mkuu, inaelekea uliwatesa sana wenzio utoto wako kitu kidogo tu utasikia NILIPE VITU VYANGU![]()

Hata hivyo bado hujakuaHabarini wazee
Wakati nipo mdogo kulikuwa na jirani yangu Analia kisa mapenzi nikawa namuona muongo huyu anaigiza, nikamwambiaga mapenzi hayaumi akasema kelele wewe bado mdogo leo nimeamini kuwa pale nilikuwa mdogo.
Haya stori ipo ivi. Nilibahatika kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye alinipenda yeye mm sikumpenda nilimtongoza kwa sababu alisema nimtongoze na mm nilikuwa single nikamtongoza nilikuwa simpigii simu yeye ndio atapiga muda mwingine akipiga naigiza nipo usingizini kumbe nipo na masela tuna bonga yani mpka machweo.
Sasa katika kupita kwangu nikakutana na dada mmoja ambaye nilimpenda sna since day one nilikuwa nimeambatana na dada yangu akasema huyu ndio mwanamke wa kuoa nikasema mm nampenda yule kweli jioni nikamtafuta nikapata namba yake tukaendelea kuchat yule nikawa namtafutia sababu nikikutana nae namkimbia sasa mwisho wasiku yule dada alienipenda akajua akaja kulala mimi nikamwambia sikupendi na kweli kwaza wezangu waka wanitania wakimuona wanasema jimama lako ilo nakuja.
Tusonge mbele sasa yule niliempenda yy kumbe anipendi akiwa na mm anapretend, akitoka kwangu ananinanga sana yule jimama akaja kusema kuwa uyo ulie naye anasema hakupendi ww ndio unamlazimisha ana bwana wake tena kasema hataki mazoea na wewe, sasa nilipojaribu kumuuliza nimpemdaye alikuja juu akasema tuachane.
Wana JF mm bado nampenda sana na bado sijamchoka nifanyeje na yule jimama akiniona ananichekea bado af mimi nataka aniludishie gharama zangu nilizotumia ili tuachane kistaarabu nimejinyima sana kwa ajili yake. Je, nipo sahihi?
Nawasilisha
Endelea kuliaHabarini wazee

what goes around comes aroundHabarini wazee