Mapenzi yanauma

Mapenzi yanauma

Dili na huyo huyo jimama wote si wana mbususu!!
kwani ya nani ni tamu !?
 
Habarini wazee

Wakati nipo mdogo kulikuwa na jirani yangu Analia kisa mapenzi nikawa namuona muongo huyu anaigiza, nikamwambiaga mapenzi hayaumi akasema kelele wewe bado mdogo leo nimeamini kuwa pale nilikuwa mdogo.

Haya stori ipo ivi. Nilibahatika kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye alinipenda yeye mm sikumpenda nilimtongoza kwa sababu alisema nimtongoze na mm nilikuwa single nikamtongoza nilikuwa simpigii simu yeye ndio atapiga muda mwingine akipiga naigiza nipo usingizini kumbe nipo na masela tuna bonga yani mpka machweo.

Sasa katika kupita kwangu nikakutana na dada mmoja ambaye nilimpenda sna since day one nilikuwa nimeambatana na dada yangu akasema huyu ndio mwanamke wa kuoa nikasema mm nampenda yule kweli jioni nikamtafuta nikapata namba yake tukaendelea kuchat yule nikawa namtafutia sababu nikikutana nae namkimbia sasa mwisho wasiku yule dada alienipenda akajua akaja kulala mimi nikamwambia sikupendi na kweli kwaza wezangu waka wanitania wakimuona wanasema jimama lako ilo nakuja.

Tusonge mbele sasa yule niliempenda yy kumbe anipendi akiwa na mm anapretend, akitoka kwangu ananinanga sana yule jimama akaja kusema kuwa uyo ulie naye anasema hakupendi ww ndio unamlazimisha ana bwana wake tena kasema hataki mazoea na wewe, sasa nilipojaribu kumuuliza nimpemdaye alikuja juu akasema tuachane.

Wana JF mm bado nampenda sana na bado sijamchoka nifanyeje na yule jimama akiniona ananichekea bado af mimi nataka aniludishie gharama zangu nilizotumia ili tuachane kistaarabu nimejinyima sana kwa ajili yake. Je, nipo sahihi?

Nawasilisha
Huu muandiko wa mtu wa kijijini.
 
Huo ndio ubatizo wa Moto kaa chonjo
 
Nahapa vilevile bdo hujakua umeshindwa ku move on,jinga kabisa ww na uliempenda kasoro jimama.
 
Hahaaa We unaonekana ndo umeanza mapenzi..hayo ndo mapenzi we unajua kabisa hakupendi na anaekupenda humpendi hzo gharama potezea tulizana tu no way out utajapenda mwingn inshallah
 
Tosing a coin

Mkuu bora umejua hakupendi
Kuna wengine wameishi miaka anakuja kugundua mwanamke hampendagi watoto sio wake

Mkuu acha utoto bas kuwa serious
 
Kikao cha wanaume pale CHUMBAGENi wakishirikiana na CHAPUTA walisema..
"Ukiona ghafla unahisi umemiss mpenzi wako au unahisi kumpenda saaana,,, anza na kupiga nyeto kwanza.... Huwenda hzo zikawa ni nyegee tu zinakusumbua"

Mleta uzi nawasilisha...
 
Wakwengwe tunakushauri hiviii
Tuliza wenge kama unataka vitu vyako nenda taratbu utapata
But unamuda wa mishale ming bado
 
Mambo ya kupendana yapo kwenye tamthilia za kifilipino na kikorea.

Sasa jifanye Harmonize kuwa unajua kupenda sana uje kuwa chizi.

Siku hizi kupendwa au kuchukiwa kunaamuliwa na mfuko wako. Ukituma miamala ya kutosha utanyonywa mpaka kwapa ila ukijifanya unatuma mashairi ya nyimbo za Zuchu kwenye msg kila siku utakuwa unaachwa.
 
Back
Top Bottom