Mapenzi yanauma

Ujifunze kutokana na makosa katika mapenzi utaupata udhoefu kadri unavyoendelea kutendwa mwisho wa siku utazoea utaona ya kawaida tuu mkuu maana hata mimi sasa nimekua mdhoefu
 
Ukiwa hujasalitiwa utakuwa mpole ngoja usalitiwe utakuwa kama mbogo aliyejeruhiwa.
 
Hata sisi wengne kabla hatujasalitiwa tulikuwa na huruma hivyohivyo. Ila baada ya kujua hawa wadudu hawana huruma nikuwaburuza tu.

Kilichozalikana kutokana na hao wadudu,nacho ni mdudu.
 
Ndo maana vitabu vya dini vinataka tuishi kwa akili sana na hawa viumbe ila nadhan wengi hawajal hilo.mwanamke n kitendawili nightmare.ishi nao kw akili sana utajua mengi usikurupuke n kufanya maamuz hasi peleleza ukishamsoma akili yake ucheze na akili yako kuichezea akili yake
 
nimekusoma mkuu
 
"mapenzi ya dhati kumbukumbu yangu inaonyesha yalikuwa zamani kidogo"
 
Saa hizi ni kula ukishiba delete na weka kwenye dastibini piga fire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…