Kuna mvulana alafu kuna mwanaume kamili, sifa za mwanaume kamili yupo bize kutafuta pesa, wanawake wanamfukuzia yeye na yeye kazi yake ni kutoa huduma murua, kugegeda na kutoa huduma, kama hana mshiko bado atakuwa na Uhuru japo si kwa 100%, ila kazi ya kitandani itampa heshima kidogo, kwa maana hiyo mwanaume kamili, huwezi sikia analia lia kisa ni mwanamke, ke akileta sivyo ndivyo, unaanza mbele hakuna kurudi nyuma, ila kama wewe ni NDINDINDI ndo utasikia hayo hooo nimeachwa, hooo nakwenda mahakamani na mengine mengi