Mapenzi yanaua sana, hasa katika stage za mwisho, mmoja ageuke...

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,982
17,050
### Mapenzi ni asali, yakigeuka jua ni sumu, sumu inayoua mara moja na hasa pale wawili wanapofika stage za mwisho za uhusiano wao mfano kutambulishana, engagement au karibu ya ndoa...halafu mmoja akageuka ghafla bila sababu ya msingi...

### ukute mwanamke au mwanaume amegharamika kwa miaka..katumia muda mrefu katika mahusiano na wakafikia hatua ya kuwa rasmi na ghafla mmoja ageuke, kifo hapa kipo karibu sana, utadhani utani hasa kwa anaye achwa atalipiza kisasi labda kwa kujiua au kumuua mwenzake..

### Wapenzi wenye uelewa mzuri, hutakiwi kugeuka hovyo na kuacha mahusiano huku ukijua labda marafiki, ndugu, wazazi na hata watu wa kawaida wanajua nyie ni wapenzi wa wazi...

## KIFO WENGINE WANAKITAFUTA KWA JASHO...usicheze na mapenzi ya moto..yaliyofika hatua ya juu...
 
Wengi yanawaua jamani...nipo huku Singida demu wiki iliyopita kaharibiwa sura yote kisa mapenzi, urembo umeisha, salaleee
 
Thats why i decided to be neutral


ni shidaa. asa nasikia huyu demu akimkimbia mshikaji wake wa muda mrefu, akatoroka hadi mjini hapa, wiki 3 akawa anatafutwa kisiri..yaliyomkuta mbaya, kamchuna kijana kwa miaka 3, kijana akijua wataoana, demu kasepa, ukimuona hata macho haoni, shida
 
Chezeya kupenda na kupendwa weye!!!

 
Last edited by a moderator:
mungu anipe ujasiri nisije kukatisha uhai wangu


### Nikimcheki Vicky Kamata, sina hamu, kifo kidogo tu kimchukue, hadi sasa hajielewi, sasa ungekuta ni Vicky kamtenda Charles, na uhakika Charles angemmaliza Vicky, ange revenge vibaya sana.
 
Ni story ya Singida ndo imekuwazisha ama una yako personal mkuu!??
 
Mbona huongelei wanaokimbia familia zao? Wengine unakuta walichuma hata miaka 20 pamoja. Bora hiyo ya kukimbiwa hata hujakaa nae.
 
Back
Top Bottom