Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,355
- 11,062
Hii ID ya Ngurukia pia yako naona miandiko inafananaMapenzi yatawaua vijana ππππ
Mapenzi sio Kwa mimi aiseKwahiyo mapenzi ndio yametubananga mpaka yametushida π€π
ππpoleMapenzi sio Kwa mimi aise
Naunga mkono hojaAcha yawatese wapumbavu
Kabisa.Tena waanike hapa id zetu zote tuumbukeπ
Si amuache! Kuna watu wana muda wa kubembeleza aiseeπ
Wanawake tuna uwezo mkubwa tu wakupenda tena tunanyenyekea balaa, ujeuri wote pembeni sa huyu sjui vp
Kwani ukiwa na mpenzi lazima utoe kitu ili uexperience penzi? Ameamua tu kutoa kwa mapenzi yake mwenyew huenda alizama kwenye wrong tundu π
Kwakweli ni ushamba shem lakeπππ½
Ni dhana tu.. sina hakika(huenda)View attachment 3549766
Unadhani hikiππΎ ndiyo kinachomfanya huyo dogo akubali kupelekeshwa kama gari bovu?
Kijana Innocent πMkaka wa watu maana yake ni nini?
It's very possible, majority yetu wanaume ukipewa 'extra majamboz' halafu tunapoambiwa hiyo ni special because of how I deeply love you basi huwa nasi tunajihisi 'extra special' and we can't manage to think beyond that ποΈ.Ni dhana tu.. sina hakika(huenda)
Tatzo muandiko unafanana.Usinihusishe na vitu nisivyovijua ndugu.
Moderator do the needful, kama huyu kiumbe anahusisha ID yangu na mtu mwingine basi ziunganisheni.
Extra ndio yakoje hayo mkuu?It's very possible, majority yetu wanaume ukipewa 'extra majamboz' halafu tunapoambiwa hiyo ni special because of how I deeply love you basi huwa nasi tunajihisi 'extra special' and we can't manage to think beyond that ποΈ.
-Channel O.Extra ndio yakoje hayo mkuu?