Pole mzee baba. Ndio ukubwa huo😂😂.Yani mkaka wa watu anajituma kumhudumia mdada.
Alaf all in all anakutishia atakuacha.kisa na maana kuna lengo fulan hujamtimizia.
Ata yale umefnyia hakumbuk.yaan kwa nn mna tutesa hivi.
Mtu unayehudumia akitaka kukuacha si ndio amekupunguzia mzigo? Hiyo ni relief hatakiwi kuumiaYani mkaka wa watu anajituma kumhudumia mdada.
Alaf all in all anakutishia atakuacha.kisa na maana kuna lengo fulan hujamtimizia.
Ata yale umefnyia hakumbuk.yaan kwa nn mna tutesa hivi.
Mapenzi yatawaua vijana 😂😂💔💔
Si amuache! Kuna watu wana muda wa kubembeleza aisee😅Eti anatishia kukuacha kisa hujamtimizia Lengo fulan.
Wanawake tuna uwezo mkubwa tu wakupenda tena tunanyenyekea balaa, ujeuri wote pembeni sa huyu sjui vpUkiona Mwanamke anakuendesha namna hii jua mzani wa mapenz umeelemea upande mmoja.
Mwanaume huyo hapendwi.
Kwani ukiwa na mpenzi lazima utoe kitu ili uexperience penzi? Ameamua tu kutoa kwa mapenzi yake mwenyew huenda alizama kwenye wrong tundu 😂Na Mwanaume huyo Analazimisha penz kwa kuhonga na kutoa ahad ambazo ziko juu ya uwezo wake.
Ili tu apate penz la huyo mwanamke.
Ni utoto huu. Na ushamba wa Mapenzi.
Sio mzee mama huyu?Pole mzee baba. Ndio ukubwa huo😂😂.
Dah mama ushauri kwenye wan n tuuuz🤓🤓. Ulistahili kupewa kitengo pale wizara ya ustawi wa jamii📍📍🤪Si amuache! Kuna watu wana muda wa kubembeleza aisee😅
Wanawake tuna uwezo mkubwa tu wakupenda tena tunanyenyekea balaa, ujeuri wote pembeni sa huyu sjui vp
Kwani ukiwa na mpenzi lazima utoe kitu ili uexperience penzi? Ameamua tu kutoa kwa mapenzi yake mwenyew huenda alizama kwenye wrong tundu 😂
Kwakweli ni ushamba shem lake😃💃🏽
Ndio mambo yangu hayo, feminist kwenye 1&2🤭 na ndio maana kila uzi wa wanawake na mahusiano nipo😂Dah mama ushauri kwenye wan n tuuuz🤓🤓. Ulistahili kupewa kitengo pale wizara ya ustawi wa jamii📍📍🤪
Sio mapenzi ni upumbavuYani mkaka wa watu anajituma kumhudumia mdada.
Alaf all in all anakutishia atakuacha.kisa na maana kuna lengo fulan hujamtimizia.
Ata yale umefnyia hakumbuk.yaan kwa nn mna tutesa hivi.