Mapenzi yanataka ujeuri

Hahaaa daah huna hela,shule huna na maisha huna hahaaa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
hapo lazma uibiwe mana siku akimpata anaejua kumuonyesha upendo imekula kwako
 
Kumbomoa mwenzio kisaikolojia ni mbaya sana hasa kwa wapenzi wanaoendeshwa na hisia zaidi! Atakuchukia vibaya sana, maana utakuwa unagusa udhaifu wake daily!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…