Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,429
- 5,891
Hii ndio Summary ya kila kitu.Usisomeke au sio?
perfect 👏👏KUNA MAHALI YANATAKA JEURI NA PENGINE YAKAHITAJI ZAIDI KAULI, HAYANAGA FORMULA HAYA
👏👏sio kila mahali yanaenda hivyo, foka foka tu nuna nuna tu susa nk si muda utakufa kwa maisha ya hivyo. imeandikwa tuishi nao kwa akili sio hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes naungana na wewe. Na some factors behind lazima ziwepo! Uwe na jeuri ya money kidogo, angalau na kamvuto kama kapo, atatamani dunia ipasukeIli hii nadharia yako iweze Ku work out ni.lazima Kwanza umuonyeshe kumpenda Sana kupita kiasi .. siku ukionyesha jeuri it makes a lot of sense
Asante👏Ili hii nadharia yako iweze Ku work out ni.lazima Kwanza umuonyeshe kumpenda Sana kupita kiasi .. siku ukionyesha jeuri it makes a lot of sense
👏👏👏Yes naungana na wewe...Na some factors behind lazima ziwepo! Uwe na jeuri ya money kidogo,angalau na kamvuto kama kapo...atatamani dunia ipasuke
Ila ukijifanya unamgomea then upo upo tuu,yeye ndio kwanzaa anakunywa mtindi[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaachwa Bure halafu uanze kuja kutusumbua humu unatafuta mumeNgoja nijaribu na mimi hii mbinu
Na siku zote ieleweke hamnaga mtu ambaye hana akili alafu ana hela,sijawahi kuona kichaa ana hela,hivyo kifupi akili tunayoambiwa ni hela,ishi nao kwa helaSio kila mahali yanaenda hivyo, foka foka tu nuna nuna tu susa nk si muda utakufa kwa maisha ya hivyo. imeandikwa tuishi nao kwa akili sio hasira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaachwa Bure halafu uanze kuja kutusumbua humu unatafuta mume