Mapenzi yanapochanganywa na soccer...!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,956
wana mmu, wote si wazima lakini?? si ndiyo??

basi bwana, mi leo naomba tuzame kwenye suala la kabumbu zaidi,

naomba tusemezane kuhusiana na hawa jamaa washabiki wa mpira wanavyodisturb ''department of love affair'' kisa tu eti kule kwenye soccer amepokea kichapo heavy!!

utakuta mjamaa katoka zake hukoooo kwenye soccer, kisa tu timu yake imepigwa nne moja, basi siku hiyo mke wake hata ile haki yake ya ndoa ndio haioni kabisaaaa!!!! sasa sijui siku wakitoka dro itakuwaje!

... jamani hivi kama wanawake na wenyewe wakiamua kufanya hivi itakuwajeeee????? eenh,, tuseme ukweli, labda siku hiyo timu ya miss strong imepigwa na timu pinzani, je lets say Mtambuzi hata pata haki yake siku hiyo??

sasa hebu muone kama huyu hapa kwenye photo.....!!!!!!!

nani afue hiyo nguo sasa jamaniiiiii????

mwanamama tena acheze na mkojo wa mtu mzima??
 
Last edited by a moderator:
Hiyo 4-1 umeongelea Man U. Wenye tabia nyingi za kuleta soccer kwenye love affairs ni wale walipigwa 8-2 siku ile.
 
Ushabiki wa mpira ni m'baya sana!
Utamuona me ndani kwake ana tv station zote lakini lazima akaangalie kwenye fujo Hata kama usiku!!!!
Believe me kuna watu wanaliwa wake zao katika hizo dakika 90!
Yani kule unafungwa na huku unafungwa!
...
Mm ni mpenz tu lakini sio mshabiki!
Jamen ushabiki nouma mazeeeeeee!
Nna friend wangu akifungwa hata kuongea haongei! Sasa wewe kosea chaka umtanie!!! Utaisouma!
...
Ushabiki haufai jaman!

Mh! Mm ni mpenzi tu
 
ha ha ha yan atafua mwenyewe. ila wanatesa sana wake zao mtu anarudi home kachelewa alafu amenuna. si sawa kabisa...
 
Hiyo 4-1 umeongelea Man U. Wenye tabia nyingi za kuleta soccer kwenye love affairs ni wale walipigwa 8-2 siku ile.

hahaaa!!

aisee sina ugomvi na wadau wa man u!

ila siku nikisikia tu man u inakutana na man city, lazima nitimbe siku hiyo!

ila wake za watu hupata sana shida wakati wa vipindi vya ligi mbali mbali za soccer!
 
ha ha ha yan atafua mwenyewe. ila wanatesa sana wake zao mtu anarudi home kachelewa alafu amenuna. si sawa kabisa...

mbali ya kuchelewa, mitusi nayo anakuporomoshea!!!!!

thats not fair
 

mpira mi nilikoma toka 2010!

nakumbuka siku hiyo MAN U alipigwa goli tatu kwa moja na barcelona,

then on the same day, mwanza akafungwa sijui na mkoa gani vile wakati wa mechi za kiwilaya kama mnakumbuka

tena siku hiyo hiyo, simba nae akapigwa na timu pinzani!

sasa mi nilikuwa upande wa timu tatu zoote zilizopigwa!!

nakumbuka niliumia kiasi cha kusema ni na mpira basi kwa muda!

siku hiyo gf wangu hakuwa na nafasi!
 
Hili ni tatizo aisee.....tunaomba mtofautishe mapenzi na ushabiki wa mpira.....hasira za kwenye mpira siyo mpaka nyumbani....

Ila siku timu yake ikishinda mwe....mtafurahi nyumba nzima ni mwendo wa ofa tu....
 
hivi Sista yanga kashinda ngapi leo??
 
Last edited by a moderator:

Kwenye red ni ukweli mtupu! hasa wale wanaofungwa wakirudi hawatoi huduma ya 6x6! Hapa dkk 90 hutumika kumliwaza ukirudi umenuna unafarijiwa kinafiki! shitukeni tazama mpira nusu saa rejea om, endelea kwenye TV yako! unaweza fika ukakuta mke hayupo au kuna uncle wa wanao feki!!!!!
 
Mh mi siamini
Naomba wapenda mpira mje mtuambie
Cc mentor mwanasoka
 
Hawajui ujanja hawa...ngoja mie niwape...LOL
Wewe timu yako ikishindwa 3-0.....weee hizo 3 kazirudishe kwenye mechi na mkeo lol....
Roho itakuaa burdaan....
 
We unautani na mafans wa Man U wazee wa nne moja na simba wazee wa droo aka wang'oa vit?
 
Hii mechi nusu nipigwe na bf wangu....yey kafungwa 8 afu nikamtania.....yani kibao kiliishia hewani.....sipati picha kingetua......mbaya kabisa jamani....
Aisee pole!! kutatua tatizo hapo, ungemwambia na wewe uko kwenye timu yake!! teh teh!
 

eeh!! kwa hiyo kunakuwa na mechi huku na huko! sasa itakuwaje jamaa akifungwa kule halafu huku nako mke kafungwa!!
 
Toka chelsea ifungwe hadi leo paw hajapata haki yake. Sijui anakula viporo vya wapi!
 
Na hapo mimi ndo timu yangu imeshinda sasa mbona ntampa kwa nguvu tena akizingua hata kinguonguo mpaka anyegeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…