Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Aisee ungempa na hela ya kulaa mbwa huyooo...
 
Aisee ungempa na hela ya kulaa mbwa huyooo...
Hata hivyo limewahi niomba nilikopeshe.....sijui hata lingenilipa nini labda mavuazi,nikamwambia usinizoee bwege wee
 
pole sn dogo
 
Hakukuwa na chochote kikubwa narudia tena hakukuwa na chochote! Ila tu siku hiyo aliacha kupokea simu zangu mpaka kesho ndo katika kumuuliza akanirushia hilo Bomu
take a time out, pumzika maisha yaendelee
 
Mkuu unataka kufa kwaajili ya mapenzi? You can't be serious,move on.....maisha changamoto nikawaida sana you never no cos huwezi force mapenzi ukaanza kuteseka wakati upo kwenye ndoa,shukuru imetokea mapema.
 
Nashukuru mkuu, ndo maana nilileta huku mnisaidie
 
Weka effort kwenye kutafuta kazii na hela uwe busy utamsahau
Kwa msg uliyoambiwa we songa mbele tu atakutafuta mwenyew huko mbelen wkt huo ushampata mwingine
Hata mimi kuna fala mmoja wa huko kwenu babati alinifanyia vituko
Sasa hivi analeta makanyagio yake anataka turudiane na mlia timing ni gonge nisepe
 
Sawa kaka mkubwa ila niko safi sema nilikua disappointed sana ndo nimecharaza ivyo
 
Sawa nimejifunza sasa mkuu!
 
Nashukuru mkuu, ndo maana nilileta huku mnisaidie
Poa mkuu,hizo changamoto ni kawaida,mshukuru Mungu kakuonyesha hili mapema, kuliko ungekuwa umeshaweka ndani.....just relax MUNGU atakupa haja ya moyo wako
 
mwili tu wenye urefu wa ft 5.7 lakini sitaki kuamini inaweza kuwa ni sababu
Weka namba yake hapa " nimshauri mrudiane " mimi nimtaalamu wa masuala ya ushauri wa mahusiano na uchumi " nime graduate na dr.criss mahuki
 
Weka namba yake hapa " nimshauri mrudiane " mimi nimtaalamu wa masuala ya ushauri wa mahusiano na uchumi " nime graduate na dr.criss mahuki

hahahah hapana sitaki tena turudiane naye nimeachwa na nimeachika
 
kila kitu nimefuta jana kama wakubwa walivyonishauri mkuu sorry.
Duh !!! Kweli Jf haifai " umeshafuata mpaka na ushauri mara hii ".... ndio maana Diwali me Wangu ajiunge na hii platform
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…