Ni kweli inauma pasi na mfano. Lakini swali je umeachwa na mama yako kusema hutopata mama mwingine?
Relax and go for your dreams.
And I bet huyo girl ndo amekuwa anajihusisha nyuma kimaendeleo. Ungekuwa ushafika mbali, but kutokana na kwamba unataka approval kutoka kwake kila mara umekuwa ulijikuta ukiishi maisha yasiyokuwa yako ili uweze kufit kwake.
Man dont cry for these animals