Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Usijibu hiyo text kaa kimyaa futa mawasiliano yake na vitu vyote vitavyoweza kufanya umkumbuke then jiuguze taratibu ukinywa juisi yako ya ukwaju
 
STAY COOL STAY SILENT FOCUS ON YOUR THINGS... DONT LET LOVE OVERRIDE YOUR MIND

We kaa kimya tu, umuhimu wako atakuja kuuona huko mbekleni (kama ni mpendaji kweli)
Thank you bro! naona najifunza kwa njia ndefu
 
Maneno kuntu
 
Pole sana! Mungu ni mwema atakujalia wa kufanana nawe, atakayekupenda hivyo hivyo ulivyo. Jaribu kujikeep busy na kama ni muumini wa dini fanya ibada mara kwa mara maumivu yatapoa haraka.
ahsante mkuu! yani hata yeye ukimuona na mimi ukinitazama utamshangaa yeye anamewezaje kusema hivyo.. Asante kwa ushauri
 
Ndiyo nimemaliza chuo
Tatizo ni hilo,fanya kazi itakayokufanya uwe busy muda mrefu hutawaza huo upuuzi
 
Daaah umenikumbusha mbali yalishanikuta
Mwaache aende lakin nakuhakikishia lazima atarudi tuu piga uwa lazima akutafute utakuja kuniambia
 
Ndiyo nimemaliza chuo
Tatizo ni hilo,fanya kazi itakayokufanya uwe busy muda mrefu hutawaza huo upuuzi
Kweli kama hilo ni tatizo na mimi nitamwambia sawa tu dunia inazunguka hii bado
 
Daaah umenikumbusha mbali yalishanikuta
Mwaache aende lakin nakuhakikishia lazima atarudi tuu piga uwa lazima akutafute utakuja kuniambia
kwaiyo alivyorudi mliyajenga mkuu?
 
kwaiyo alivyorudi mliyajenga mkuu?
Noo ukirudiana ni kosaa kubwaaa kinomaa atakutesa zaidi ya awali halafu atakuona huna soko labda urud upige mbupu usepe usikubali uoe utajutaaaa maisha yako yooooteee
 
Ushauri wangu ni kuukubali ukweli kuwa ww si type yake thats it. Yes inauma but huo ndio ukweli.. once moyo wako ukishajubali maumiv yatapungua.
Tumia hayo maumiv kama chachu ya kutafuta pesa, tafuta maendeleo kwa jasho na damu .
utakapo kuwa sawa ata step mwanamke smart kuliko huyo.
Be a man, man huwa tunafuta machozi halaf next day tunaendelea na maisha
 
Mkuu hiyo iwe chachu ya wewe kutafuta hela, maisha mazuri na kuwa mtu bora hapo baadae. Kuna vitu vinatutokea kwenye maisha yetu ili vitupe nguvu na ari ya kuendelea mbele zaidi.

Binafsi hali kama hiyo ilishawahi kunitokea kipindi namaliza chuo tena huyo binti alinichana live kuwa anaona hali itakua ngumu sitaweza kumuhudumia hivyo tuachane. Japo roho iliniuma ila ilinisaidia sana kuzinduka. Kila mara yale maneno yake yakawa yanajirudia kwenye akili na moyo wangu. Nikawa serious kwenye mipango yangu, nikaweka bidii iliyozidi uwezo hatimae nikatoboa.
Ila kiukweli turning point yangu ilikua yule binti yeye ndio alibadili maisha yangu kunitoa kwenye comfort zone.
 
Mwambie "Asante sana. Umenisaidia kujitambua nikoje. Wacha nimtafute wa type yangu"

Halafu futa kila kitu cha kukufanya uwasiliane naye tena.

Tafuta pesa.

Ukizipata pesa atakuona unaumbo kubwa ghafla.
Thats right brother. Atakuja mwenyewe tena kwa magoti. Nawafaham hawa viumbe meku. Apambane.. namuhakikishia huyo malaya atarud tu
 
Naona kama ananiandalia misingi na mimi kuwa player tu kwa wengine! maana mbona mi sikuwa na tatizo kabisa
Kuwa player ni hatua ya ukuwaji. Kuna time utapitia hiyo hatu.. the utakuwa na kuacha then utapata mke. Ni hatua tu mkuu relax
 

"Be a man, man huwa tunafuta machozi halaf next day tunaendelea na maisha"
Ndivyo nitakavyofanya Thank you
 

Poa mkuu nashukuru.. Ndo maana nilileta huku naamini kuna watu wema bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…