Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Unpaired

Senior Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
176
Reaction score
169
Wakubwa zangu Heshima kwenu,
Mimi kijana wenu nimejikuta nikiwa kwenye hali ngumu saana ambayo nadhani sijawahi kukutana nayo kabla, ni baada ya kuangukia kwenye penzi zito na Binti mmoja akiwa ndo amemaliza masomo yake Hapa Dodoma!
Kiukweli Leo amenitumia text yake moja amabayo mpaka sasa hivi nahisi kama siyo yangu lakini ni yangu kumbe kaaabaisaaa! Daah Ananiambia kwamba mimi sio type yake hivyo tu yani daaah (sitaki kuamini umbo langu ndo tatizo maana nnaumbo kidogodogo kiasi) aaaaaargh inauma saaaana saaana tena saaana, yani nmeshindwa hata kumjibu chochote mpaka sasa, Kwa upande wangu napenda sana, nisiwe mnafki tena namuhitaji sana tu lakini ndo kwanza katika future lakini ndo nimemaliza chuo mwaka huu Bado sijaeleweleka kimazingira nyie wenyewe mnajua hali halisi.

Wakubwa nawaheshimu sana ndo maana naomba mawazo yenu sijui nifanye nini mimi sielewi kabisa yani mpaka sasa sina chaku muuliza wala kumjibu hata alichoniambia kama sikielewei yani sijui sijui. Msinaidie mawazo mimi mdogo wenu jamani kabla sijapotea.
Please Yu.... Utaniua jamani daaah
 
Ilikuaje mpaka akakuambia hivo?
Hakukuwa na chochote kikubwa narudia tena hakukuwa na chochote! Ila tu siku hiyo aliacha kupokea simu zangu mpaka kesho ndo katika kumuuliza akanirushia hilo Bomu
 
Mbona hujateseka ..mkuu ebu jaribu kuji keep busy na mambo yako ..hata penzi la nani kwako litakuwa la kawaida

Yani nikubaliane nae tu kivyepesi tuu daaah naona kama nitidhulumu nafsi jamani, Mungu anisaidie lakin
 
Mwambie "Asante sana. Umenisaidia kujitambua nikoje. Wacha nimtafute wa type yangu"

Halafu futa kila kitu cha kukufanya uwasiliane naye tena.

Tafuta pesa.

Ukizipata pesa atakuona unaumbo kubwa ghafla.

Au pengine na waza anataka anione niko intereste sana kwake yani amejua nampenda sana pengine? Lakini nashukuru pia kwa ushauri naweza pakuanzia mkuu
 
Kuna jamaa amesha pendwa Mkuu..we pambana na hali yako
daaaah naona itafika wakati itabidi nitakubaliana kabisa, lakini bado namshangaa nakujishangaa pia katika hizi siku za mateso
 
Usitake mapenzi yakuendeshe hivyo unakuwa kama mjinga kulia lia

Focus kutafuta pesa alafu wanawake watakufuata.

Naona kama ananiandalia misingi na mimi kuwa player tu kwa wengine! maana mbona mi sikuwa na tatizo kabisa
 
End of the Road

Boyz II Men

Girl you know we belong together
I don't have no time for you to be playing with my heart like this
You'll be mine forever baby
You just wait

We belong together
And you know that I am right
Why do you play with my heart?
Why do you play with my mind?

Said we'd be forever
Said it'd never die
How could you love me and leave me and never
Say goodbye?

When I can't sleep at night
Without holding you tight
Girl, each time I try I just break down and cry
Pain in my head
Oh, I'd rather be dead
Spinning around and around

Although we've come
To the end of the road
Still I can't let go
It's unnatural
You belong to me
I belong to you
Although we've come
To the end of the road
Still I can't let go
It's unnatural
You belong to me
I belong to you

Girl, I know you really love me
You just don't realize
You've never been there before
It's only
Your first time

Maybe I'll forgive you
Maybe you'll try
We should be happy together forever
You and I

Will you love me again
Like you loved me before
This time I want you to love me much more
This time instead
Just come to my bed
And baby just don't let me go

Although we've come
To the end of the road
Still I can't let go
It's unnatural
You belong to me
I belong to you
Although we've come
To the end of the road
Still I can't let go
It's unnatural
You belong to me
I belong to you

Girl, I'm here for you
All those times at night
When you just hurt me
And just ran out with that other fella
Baby I knew about it
I just didn't care
You just don't understand how much I love
Do you?
I'm here for you

I'm not about to go out on cheat you
(Maybe I'll forgive you)
Just like you did baby
But that's alright
I love you anyway
(Maybe you will try)
And I'm still going to be here for you until my dying day
(We should be happy together forever)
Right now
I'm just in so much pain baby
'Cause you just won't come back to me (You and I)
Will you?
Just come back to me

Yes baby, my heart is lonely (Lonely)
My heart hurts baby (Lonely)
Yes, I feel pain too
Baby please

This time instead just come to my bed
And baby just don't let me go

Although we've come
To the end of the road
Still I can't let go
It's unnatural
You belong to me
I belong to you
Although we've come
To the end of the road
Still I can't let go
It's unnatural
You belong to me
I belong to you

Although we've come
To the end of the road
Still I can't let go
It's unnatural
You belong to me
I belong to you
Although we've come
To the end of the road
Still I can't let go
It's unnatural
You belong to me
I belong to you

Songwriters: Kenneth Edmonds / Antonio Reid / Daryl Simmons
 
Kama mapenzi yanakutesa achana nayo fanya kitu kingine mkuu
ni kweli hata mi nikiwaza hela zinanitesa, kazi zinanitesa halafu na yeye pia et ananitesa bila sababu kweli? kweli kabisa
 
Back
Top Bottom