Mapenzi yananitesa sababu ya huruma ya upendo: msaada

Awe mkweli kwa nafsi na moyo wake pia amueleze Grace mapema kwa upole na uwazi. Najua itakuwa ngumu lakini ni heri kuliko kuingia katika kifungo cha mateso milele.

NB: Ni bora ukosee kujenga nyumba sio kuoa.:yield:
 
Grace anampenda Cecil ila cecil anampenda mage,huyo Cecil ana uhakka gan kama mage anampenda? Mwambie atulie na anaempenda la sivyo atajuta mage akija kimgeuka wakati huo grace nae atakua keshampata wa kumpenda na yeye
 
Mage na grace wote wakae chonjo, hakuna mwanaume hapo. Hadi kwa mashoga wanaojuana?
 
Awe mkweli kwa nafsi na moyo wake pia amueleze Grace mapema kwa upole na uwazi. Najua itakuwa ngumu lakini ni heri kuliko kuingia katika kifungo cha mateso milele.

NB: Ni bora ukosee kujenga nyumba sio kuoa.:yield:

Ukweli uliopo Mr. Cecil ni mkarimu sana na huwa anafanya mambo yake bila kumkwaza mtu na yupo lazi aumie ili amridhishe mwengine. But kwa hili moyo wake umekataa kabisa kuvumilia.. mbaya zaidi mage nae anampenda sana tena sana kwani mara nyingi amekuwa akihakikisha cecil anafanikiwa ktk mambo yake.
 
Kongosho kuna mwanaume anaitwa Cecil? Au labda mimi ni msukuma sijui majina ya ki-dot com!!

Umenichekesha sana, sikutegemea swali kama hilo. Hiyo dotcom imeanza lini mkuu? Cecil ni jina la mwanaume tena wapo wengi, mwanamke ni Cecilia
 
Ukweli uliopo Mr. Cecil ni mkarimu sana na huwa anafanya mambo yake bila kumkwaza mtu na yupo lazi aumie ili amridhishe mwengine. But kwa hili moyo wake umekataa kabisa kuvumilia.. mbaya zaidi mage nae anampenda sana tena sana kwani mara nyingi amekuwa akihakikisha cecil anafanikiwa ktk mambo yake.

There is only One solution, "Aseme ukweli tu wa moyo wake" otherwise huo ukarimu wake utamgharimu maisha yake yote.

By th way, avatar yako tu mie hoiiiii:behindsofa:
 
Mmmh.. hoi kivipi mkuu? mbona ya kawaida tu. lol..
 
Back
Top Bottom