Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,338
- 9,080
Haya thread closed
19Tumekuudhi nin tenaa?usikate tamaa
Una miaka mingapi?
Usiku huu usinichekeshe na maumivi yangu 😂Kumbe bado bikra au nimesoma vibaya
Unge- paraphrase hapa km summary ingetosha sana kuliko hayo maelezo mengine yaan hapa ndio umeeleweka Sana kua atakae jipendekeza ajue kakutana na Simba aliejeruhiwaAsije akashoboka binti wa mtu, nitakachomfanya atachukia watu wanaume wote
Well saidWana mzuka na pesa tu siku hizi, akikupenda mama yako inatosha.
Sasa huo si umri wa shule? Zembea kusoma katika umri huo baadaye dunia itakufundisha nini maana ya wakati ukuta.
kwa umri huu tulia tuli
Maumivu gani na huujui ata utam wa mbususuUsiku huu usinichekeshe na maumivi yangu 😂
Sawa ila we mwamba ulinikera kwenye Id yangu ile nyingine PM sidhani kama unakumbukaUnge- paraphrase hapa km summary ingetosha sana kuliko hayo maelezo mengine yaan hapa ndio umeeleweka Sana kua atakae jipendekeza ajue kakutana na Simba aliejeruhiwa
Sasa huu umri si usome mapenzi badoo
bado hajafunguliwa duniani ndio kwanza first love inamuendesha na kula viapo ambavyo hatoweza kuviishiSasa huu umri si usome mapenzi badoo
Badoo hujakutana na mishangazii wee
Nipo chuo nachukua coz ninayoipenda nashukuru sana kwenye masomo nakomas vibanda kama vyoteSasa huo si umri wa shule? Zembea kusoma katika umri huo baadaye dunia itakufundisha nini maana ya wakati ukuta.
😂😂😂 Ni kwelikwa umri huu tulia tuli
Maumivu gani na huujui ata utam wa mbususu
Inshallah kuna demu ninampenda sana ila mhhhView attachment 2575658
Inauma inauma lakini utazooeaa
Abaki nazodronedrake fomu tafadhali
Etii hata experience hana hebu Asubiribado hajafunguliwa duniani ndio kwanza first love inamuendesha na kula viapo ambavyo hatoweza kuviishi