Tutaponyana vidonda vyote mioyoni mwetu , tutafarijiana na kuitafuta furaha baada ya kutoka msotoni (kuteswa)sas hapo s tutazd kutesana
Ndo utovu wa imaani huo mkuuHahahahahah kwenda kanisani ni muhimu ila si unaona watu wanakataa mambo ya ndoa hawataki
Mkuu hapana, wakipendana waende kanisani au msiktini waoane....sio kuzaa tu watoto wa uzinifu....tutakua taifa la Ajabu...Shida sahv watu tamaa za Ngono kwao ndo wanaita upendo &mapenzi...
Kwani mapenzi basi
Ni wivu wa kijinga tu
Mkuu hapana, wakipendana waende kanisani au msiktini waoane....sio kuzaa tu watoto wa uzinifu....tutakua taifa la Ajabu...Shida sahv watu tamaa za Ngono kwao ndo wanaita upendo &mapenzi...
Sema jina lako la ukweli maana kuna demu hapa mtaani kwetu alinipenda ila mimi sijawahi kumpenda hata siku moja maana hatuendani hata kidogo.Nyie mwenzenu mapenzi yananitesa sana nikisema niyaache niwe single nafall tena kama kuna mshauri anisaidie ntakufa ety
Iko hivi yani sijawahi kubahatika na mahusiano toka nianze kuyajua yan kila siku nalizwa mm tu the bad thing nikipenda mtu natumbukia miguu yote