Mapenzi yananitesa jamani

Mh haya mapenzi mwishowe yutatangazwa janga la taifa.
 
when pple can walk away 4rm u, let them walk, ur destiny is never tied 2 s/body that left, so what u need is 2 LET IT GO
 
Know that pple leaves u bcoz they are not joined 2 u,&if they are not, u cant make them stay.DONT EXPECT LOVE IN RETURN.
 
kwenye karne hii bado unakuwa na mapenz ya kwel kwa mwanamke. mkuu mwanamke sio ndugu yako. kwa Tanzania ni poa tu ukiacha ila uku korea mtu akuachi atalipiza kisasi ata kama itamchukua miaka kumi ila ipo siku atalipiza kisasi
 
Wanawake wa ck iz ni SHAKE WEL B4 USE & when u use, u must HANDLE WITH CARE..Hata kama alikuudh, u disapointed her.
 
Ujinga mtupu..jitu zima unawaza mapenzi tu,ebu fanya kazi uko!
 
dah!! pole sana, maumivu ya mapenzi waweza jitibu wewe mwenyewe.
 
Nilishapenda mkuu lakini nilishinda kwa mbinu nilizokupa hizo najua unaumia sana but you a man ni lazima ushinde.

kuwa na mzuri zaidi ndo soln?
when it comes to lov uzuri wa mtu mwingine hauna nafasi mkui.
 
kwenye karne hii bado unakuwa na mapenz ya kwel kwa mwanamke. mkuu mwanamke sio ndugu yako. kwa Tanzania ni poa tu ukiacha ila uku korea mtu akuachi atalipiza kisasi ata kama itamchukua miaka kumi ila ipo siku atalipiza kisasi

mkuu hawa sio watu! Sasa hivi ni usikionee huruma kiumbe usichokizaa ni mwendo wa kuwapiga mimba tu, pambaaaf
 
Pole ndugu, mwanamke akikukataa tafuta mzuri kuliko yeye afu umulingishie....!! Ila bro ujifunze mwanamke hakaripiwi anabembelezwa. Ww sio wa kwanza kukupata hayo
 

We watu8......ushauri gani huo
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu ila stop lamenting and move forward!,u will find another lover and life will go on!
 
mkuu hawa sio watu! Sasa hivi ni usikionee huruma kiumbe usichokizaa ni mwendo wa kuwapiga mimba tu, pambaaaf

Hahaaa,yani sijui kwanini kile kitufe cha like wamekiondoa daah..

"Nlikuwwpo":bolt:
 
Acha kulia na mapenzi,wanawake wote hawa bado unalialia tu!
Takwimu zinaonyesha wanawake wapo wengi kuliko wanaume,wao ndio wanatakiwa waumie kisa mapenzi na sio sisi wanaume.
We si unaona wanojiuza ni wanawake miaka yote?ulishawahi kumuona mwanaume anajiuza road?

"Nlikuwepo":bolt:
 

Kwani ulizaliwa nae ndugu?? Na kama uliamua kuachana nae y unataka umrudie?Kukosa msimamo co kitu nzur. Achana nae kuwa busy na maisha utamsahau tu automatically pia acha hzo fikra za kutaka kumdhuru mwenzio ni dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…