Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Nikiri tu kwamba huu mchezo wa punyeto sio mzuri.
Ndugu yangu analalamika kukosa usingizi siku ya Tatu leo hata akifanya kazi ngumu siku nzima Bado hapati usingizi. Anadai tatizo limeanza alipojikumbushia kale kamchezo ka kuchezea tupu zake Kwa sabuni na mafuta mpaka maziwa meupe yakamtoka.
Anadai pia hajiamini Tena mbele za watu na anatamani kujiua Kila baada ya kufanya Hilo tendo maana anapata Sana majuto. Anaomba ushauri wenu maana Kwa jinsi navyomuona Amekuwa mtumwa wa picha za ngono.