Mapenzi yananichanganya

Nimekuelewa sana mkuu,ila hata hao wanaume wenyewe unaowazungumzia co kama wale wa zamani ukimzungusha kidogo tu kakimbia anakwambia cna muda wa kupoteza kwa mwanamke mmoja,au ikitokea kavumilia masimango na dharau ulizomwenyesha tayari yy anajiwekea target yake kuwa cku akikupata lazma ala papuchi afu anasepa zake hapo anakuwa amelipizia usumbufu aliyopata.au wengine unawazungusha weee anakuwa mvumilivu bt cku ukimkubali anategemea after some days or months ale mzigo ukimbania mzigo ndo anasepa kabisaa anasema hawezi kuona yy anabaniwa wakati wengine wanapata(yani anadhani kunamwingine unampa....hii imenifanya niwapotezee wengi coz niliona wako after papuchi tu coz kama kweli walinipenda co shida kunivumilia mpaka nitakapokuwa tayari) bt kwa yule jamaa maringo yy alikuwa tofauti hakuwa ana entertain sex kabisa(kama alikuwa anagonga nje mimi cjui bt nachojali alionyesha respect na ckuwahi kumuhic anagonga nje) ndo maana nilichanganyikiwa kwake
 
pole sana, naomba nikushauri kuwa kuanzia leo futa mahusiano yako yote anza upya....chukua peni na karatasi andika sifa za mtu ambaye unamhitaji
mfano
1.mtanashati
2.mwenye pesa
3.asiye na maringo
4.aliyeishika dini yake
5.awe na kagari
6.awe na kanyumba
7.awe hajawahi kuwa na mtoto n.k

ukishaorodhesha sifa za mpenzi unaye mhitaji jiulize hao uliokuwa nao wanazosifa unazotaka? kama hawana endelea kusubiri huku ukimuomba Mungu.....ila kamwe usijaribu kutoka na mtu ambaye hana sifa....ata kama kapungukiwa sifa moja...na mara nyingi hizo sifa huwa mtu hajiandikii tuu, ni vitu vinavyojireta systematic hupangi kuna univerce inakupangia hivyo ukifanya pasipo kufuata maono uliyonayo ndipo mtu huangukia kwenye mikono ya mahusiano yasio salama....nakutakia mafanikio mema MUNGU akupe baraka, mafanikio na amani.
 
Amina thanks for your advice
 
Alafu ttz ni kwa ndugu na marafiki zangu wengi wananambia Maki J ur too selective eti niache kuchagua sanaaaa coz miaka itaenda na nitabaki kuwa single....mm cwez kuwa na mtu asiye na vigezo navyotaka mm mfano hata kigezo kimoja kikikosekana nakosa mvuto au nakuwa na doubt nae sanaa....like nataka mtu anaizid atlist kuanzia 6yrs,asiwe na mtt,awe Christian tena RC,n.k so ikitokea nikapata mtu anavigezo vyote kasoro labda ana mtt au sio Christian hapo naona hakuna future
 
You are very right!!
Mwambie kwa upendo kwamba aje kukuchukua , kwa kukubaliana na wewe kuja kukuchukua basi atakuwa anamaanisha, na suala la wewe kuweza kumpenda wala usijari pale mtakapo kuwa karibu automatically uta- fall in love na yeye kinouma. Zaidi ukishaonja dushele.
 
Tatizo ulijipaisha sana mpaka akaamua kutafuta wa hadhi yake. Next time usome nyakati sio lazima aseme ila ungemtengenezea mazingira ya kuwa karibu nae zaidi angesema Siku moja. So mtafute umwambie ukweli.


Ova
 
Tatizo ulijipaisha sana mpaka akaamua kutafuta wa hadhi yake. Next time usome nyakati sio lazima aseme ila ungemtengenezea mazingira ya kuwa karibu nae zaidi angesema Siku moja. So mtafute umwambie ukweli.


Ova
Sidhani kama umenielewa!
 
Jamaa wa kwanza namkubali sana , coz ni mwanaume wa kweli anayeamua jambo mara moja , alipoona hapendwi na kuthaminiwa basi ikatokea kama bahati akapenda binti mwingine na binti naye akapokea upendo basi jamaa akamsahau mazima bibie na matokeo yake bibie leo analialia
 
Mapenzi ya urafiki kwanza ni mazuri sana maana siku hata mkitibuana mna solve mambo as friend kwanza
Tofauti ya huyu wa pili ni kama rafiki yangu yani cmwonei aibu kwa chochote yani akiniboa ni rahic kumwambia na yy kunielewa because tumekuwa Friends tangu chuo( labda kwenye kula papuchi...coz ckuwahi waza kama nitakuja kudate nae)
 
Sidhani kama umenielewa!
Nimekuelewa saaana na Mimi nimezingumzia possible sababu za yule wa kwanza kuanza kulinga, but sijamgusa kabisa huyo school mate wako,but km unaweza fuata hisia za moyo wako
 
Sikushauri ujibebe tu na kujiendea tu in the name ya kumfuata mtu anayedai anakupenda.

Muambie aje kwenu afuate taratibu zinazotakiwa akuoe na uende huko aliko kama mkewe. Usijaribu kwenda bila yeye kutimiza hili sharti...utakuja kujuta na utakuwa umejipotezea muda. Kama kweli anakupenda na asingependa kukupoteza basi atafanya hivyo...ni sharti jepesi kwa wanaume walio serious...na i trust kwamba atakuheshimu for that!!

Ishu ya kwamba humpendi kihivyo kwangu mimi sio ya msingi sana kwasababu kama jamaa is truly a loving and caring guy then hakuna shaka utajifunza kumpenda kama mpenzi.

Huyo mwingine unayemwita mwenye "maringo" achana naye. Ashapata aliyeziba nafasi yako. Perhaps you somehow failed your test mkuu. Kwahiyo kuwa mpole!!
 
Nenda dada ukapate kitu roho inapenda...... acha kuumiza moyo na asiyekupenda,
 
Mh tatzo linakuja uko nje ukaenda alaf akikubadlikia huko inakuwaje hapo ndo shda
 
Ww papuch lazma iliwe kukaa na mwanaume chumba 1 alaf ucmpe papuch ni vgumu sana lazma akubake kama ukimnyima ingekuwa mnakaa mbal mbal sawa
 
Am sure nikimwambia hvy hatokataa bt mm ndo ctak kuji commit mapema mpka na mm ni foll in love kwake ndo niruhusu hayo...mm nataka niende ili nimsome vizur upande wa pili like mpenzi....coz tayar namjua as Friend
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…