Mapenzi yananichanganya

Kuumbe ndo hivi, hata usiende huko nje ya nchi.. Tena unawaficha na wazazi kabisa. Usithubutu who is he to you? Unless akuoe kabisa ndo utajua yuko serious. Wengi tu wanaishiwa kumegwa, wanaume unawajua wewe.. (baadhi).. Usije enda ukaishia kua changudoa huko. Kaa tz hadi kieleweke na huyu wa maringo achana nae embu angalia other side of life..
 
Asipokuelewa na hapa basi.
 
Nimekuelewa mkuu ngoja nijaribu kufanya application za jeshi mwez5,ili nimpotezee huyo jmaa wa nje
 
Tatizo ninaloliona kwako kuwa wewe unajiona kama dhahabu na pia huna Tabia ya kuwathamini wanao kupenda. Hapo juu kwa huyo jamaa wa kwanza ulikili kuwa alikupenda sana lakini wewe hukuonyesha kumjali hadi alipochoka ndipo ukaona umuhimu wake na kuanzia kumtafuta. Hakuna mtu anayependa kuchezewa hisia zake jitahidi kumthamini kidogo kadada hata kama hukumpenda.
Huyu mwingine naye utampoteza pia usipobadilika au unataka mpaka aje akupigie magoti?. Unajiloga mwenyewe wala usitafute mchawi hapo.
 
Kama umemsoma mtoa mada vizuri. Mwanaume hana shida. Tatizo lipo kwa mtoa mada. Hampendi mtanzania anayeishi nje.

Kuolewa hakuna tatizo. Tatizo ni huyu alipenda asipopendwa ila anapopendwa hapapendi. Na anashida je akienda kwa huyo aliyepo nje ya nchi shida zake za ajira zikiisha ataendelea kumpenda?
 
Yaani bora amwache mshikaji wa watu anatafuta zake maisha huko nje. Vinginevyo utampotezea time baadae uanze kulia au yeye aliye na wewe.
 
Yaani bora amwache mshikaji wa watu anatafuta zake maisha huko nje. Vinginevyo utampotezea time baadae uanze kulia au yeye aliye na wewe.
Hulali shem?
 
Mkuu hapa mwenye Tabia ya maringo ni huyu kadada. Huyo jamaa alimjali sana ila huyu hakuwa na ushirikiano mwisho wa siku jamaa alichoka na kuamua kumkalia kimya ndipo yeye akaanza kuhangaika. Huyu ndie mwenye makosa hapo.
 
Nadhani cjaeleweka yule wa kwanza nilimpenda mnoooo though hakuwa kunitamkia neno nikupenda,na mm kama mwanamke cwezi kumwambia nakupenda sana ur my everything NO because he Never approach bt action speak loud alivyokuwa ananijali kwa zawad,kunishauri vitu tofauti bt ttz ni moja alikuwa busy mnoo mpaka kunitafuta ni shida so mm ndo wakumtafuta cku zoteee
 
Huyu wa pili cna hisia nae kabisaa though anaonyesha kunipenda mnoooo
 
Leo ulilala mchana eeeh, sijakuona kwenye zile anga zetu
Nililala wapi. Nahisi ninaugonjwa wa kukosa usingizi. Ulishapelekwa na mtu sehemu then ulipofika ukawa hupaelew? ??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…