Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Kumbuka mapenzi huanza na urafiki, pili usikubali kwenda nchi za watu kichwa kichwa, kuna kikwazo gani cha yeye kuja Bongo na kufuata taratibu, akakuchukua mkaenda kuishi huko mkitambulika rasmi.Ttz najiuliza nitaweza kumpenda kweli kama mpenzi wangu coz mm nilikuwa namchukuli like friend tu
Thanks for advice,bt nilisahu kusema kuwa yy ndo atanifuta huku,bt siwez kuwambia wazazi kuwa ni rafiki wa kiume hawatonielewa kwenda kuishi na mwanaume hata mahari ajatoa,sema ni mapema sanaa kuongelea ishu za mahari so mm nimewambia nirfiki wa kike bt ndugu zangu (kaka na dada)ndo nimewambia kuwa ni boyfriendKumbuka mapenzi huanza na urafiki, pili usikubali kwenda nchi za watu kichwa kichwa, kuna kikwazo gani cha yeye kuja Bongo na kufuata taratibu, akakuchukua mkaenda kuishi huko mkitambulika rasmi.
Hivi ushajiuliza unaenda huko ukiwa kama nani kwake?
Una uhakika gani hawezi kukutumia na kukutekeleza huko kwa watu?
KUWA MAKINI NA UAMUZI UTAKAOCHUKUA.
Sawa, ila kwa mimi nionavyo huyo kijana humpendi, bali uko tayari kujilipua kwenda kuishi nae sababu huna ajira au kazi ya kufanya. Jishuhulishe acha kua tegemezi then ukiwa independent na still bado mkawa rafiki, maamuzi utakayochukua naamini hayatokuwa influenced na jambo fulani.Thanks for advice,bt nilisahu kusema kuwa yy ndo atanifuta huku,bt siwez kuwambia wazazi kuwa ni rafiki wa kiume hawatonielewa kwenda kuishi na mwanaume hata mahari ajatoa,sema ni mapema sanaa kuongelea ishu za mahari so mm nimewambia nirfiki wa kike bt ndugu zangu (kaka na dada)ndo nimewambia kuwa ni boyfriend
Yani niko njia panda sometimes naona bora niende ili anifundishe hz biashara ikiwezekana anipe na mtaji afu nimpotezee......bt ikitokea nikawez kumpenda then tuanzishe mahusiano.....bt cjui nitamkwepaje asile ppuchi coz kama nikienda nitafikia kwake and tulala room moja sasa kumkwepa cjui itakuwajeSawa, ila kwa mimi nionavyo huyo kijana humpendi, bali uko tayari kujilipua kwenda kuishi nae sababu huna ajira au kazi ya kufanya. Jishuhulishe acha kua tegemezi then ukiwa independent na still bado mkawa rafiki, maamuzi utakayochukua naamini hayatokuwa influenced na jambo fulani.
We hujiulizi kwanini unaona guilt kwenda kuishi nae huko?
Hivi lingekua jambo la heri ungefeel guilt hivyo?
Usiharakie maisha. (Mawazo yangu)
Hizi mambo za umbali, zilitaka kunifanya nivae kaptula ndogo kichwani.....Mh haya mambo ya nje ya nchi sikushauri
Heshma yako Mkuu.....kumpenda mtu inatokana na ukaribu na mazoea... mkiwa hivyo kwa muda hata kama humpendi utajikuta chembe chembe za upendo zinaanza..!!!
Basi nendaAnafahamika na marafiki zangu wote...kama nikiondoka nitawajulisha wazazi
Ukisha mzowea, atakujaa moyoniTtz najiuliza nitaweza kumpenda kweli kama mpenzi wangu coz mm nilikuwa namchukuli like friend tu
Sijawahi kuona ushauri wa hovyo kama wa rangi hii.....Mwambie kama ana nia na wewe aje kukuchukua na sio were kujipeleka.
Amen.....sema na moyo wako
Binti naona maisha yanakuchanganya hebu kaa tuliza akili, hujachelewa, usifikiri kuna kitu cha bure kwenye hii dunia, anaweza akachakaza papuchi yako na ukarudi Bongo na ndala. Kwanini usitumie akili ulizopewa na nguvu kujipatia kipato?Yani niko njia panda sometimes naona bora niende ili anifundishe hz biashara ikiwezekana anipe na mtaji afu nimpotezee......bt ikitokea nikawez kumpenda then tuanzishe mahusiano.....bt cjui nitamkwepaje asile ppuchi coz kama nikienda nitafikia kwake and tulala room moja sasa kumkwepa cjui itakuwaje
Sawa nimekuelewa mkuu.... nitaufanyia kazi ushauri wako.. shukraniBinti naona maisha yanakuchanganya hebu kaa tuliza akili, hujachelewa, usifikiri kuna kitu cha bure kwenye hii dunia, anaweza akachakaza papuchi yako na ukarudi Bongo na ndala. Kwanini usitumie akili ulizopewa na nguvu kujipatia kipato?
Hivi unajifunzaga kweli kwa watu waliofanikiwa kwa juhudi na nguvu walizotumia zikionekana wazi (ambao hawakutegemea kuchuna mabuzi).
Tulia tafuta kitu cha kufanya, na wewe uwe na maisha yako, na pia kama ndiye Mungu aliyekupangia atakua wako tuu. Hata bila kuchuna mwanaume (kama unavyowaza) unaweza kufanikiwa.
Achana na mwenye maringo, utalia kila siku.. Tena mtupilie mbali, ukipendwa utapenda tuu, wanawake tunajifunza kupenda sana tuu, mie yule kaka ambae haku show interest kwangu when I was craving for his love nishamtupia kwene dustbin and I'm happy. Stay with someone who loves u, uta enjoy kikubwa badili attitude yako. Hata usipoenda nje kwa huyo kaka ushauri wangu ni ule ule, penda unapopendwa..Jamani why mapenzi yanatu drive crazy?Kuna mkaka aliwahi kuonyesha interest kwangu bt Never mentioned "I LOVE U"bt alionyesha kunijali like kuniletea zawad ya vitu navyopenda tena nyumbani afu muda wa kazi (because he is working bt am not working)so nikasafir for 3weeks nikanza kuona mabadiliko nawasiliano yakapungua sana mpaka nikarud Hali ni ile ile nikiuliza what happens anasema u-busy tu so mm ndo nikawa na force nawasiliano....nikapata hasira nikamwambia asinitafute bt after one month ya ku-block nikaanza kumtafuta tena bt akawa anaonyesha dharau kubwa like mpka ajisikie kujibu ndo anajibu,so now for SURE nimechoka and ninachuki moyoni....bt kuna this guy tulikuwa tunasoma nae chuo we used calling each other baby na utani mwingi kumbe mwezangu alikuwa akimanisha and he says he love me now anafanya biashara nchi jirani naTz sasa anataka anitumie hela niende nikaishi nae coz now ajira ni ngumu Tz,Ttz ni kwamba mm am not sure kama nampenda kweli kwa sababu nmchukulia tu like normal friend,and I do wish anavyonipenda ndo ningekuwa napendwa na yule mkaka mwenye maringo,so guys hebu nishaurini ingekuwa ww ungefanyaje?.......yani itakuja kuwezekana kumpenda kama anavyonipenda yy?coz he really love's me so much