Mapenzi yanahitaji mchakamchaka


Tatizo wajuba wanadhani ni ule ugomvi kama wanaofanya watu wa mkoa wa Mara sio huo kabisa nazungumzia kaugomvi kasichokuwa na madhara yeyote
 

 

Well said
 

Unafaa sana kwenye kizazi cha bongo movie
 

hakuna msamaha mkuu moja kwa moja motoni
 
Unagoma kula au kufanya nini?
😋kula hawagomi mkuu, huwa namgomea yeye tabia zake na mambo flani flani nisiyoyataka unamtafutia ili akijua mda wangu wa kurudi anapangilia kila kitu vizuri asigomewe.
 

Point
 
Kweli kabisa
ila sio kila mwanamke unaeza mletea izo drama
 
Nmemzingua jana mchana

Mpaka sasa naona anapost tu ujingaujinga status wa kunilenga mimi,

Kunitext anatamani ila anasita anaona afikishe ujumbe kupitia status tu.
Me namcheki tu
 
Nmemzingua jana mchana

Mpaka sasa naona anapost tu ujingaujinga status wa kunilenga mimi,

Kunitext anatamani ila anasita anaona afikishe ujumbe kupitia status tu.
Me namcheki tu

Fanya kumpiga kimoja cha fasta kabla wajuba hawajacheza na fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…