Tanzanian lady
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 261
- 322
OkayWe fanya utafiti utavipata sana huku ughaibuni.
OkayWe fanya utafiti utavipata sana huku ughaibuni.
Nitembelee nitakupikia.huo ugali na hizo nyama na hicho kijikachumbari pembeni aisee
Hata ukiona mkuyenge utatamaniUnantamanisha
Mkuyenge ndo nini?Hata ukiona mkuyenge utatamani
DuduMkuyenge ndo nini?
Sijawahi tamani dudu etDudu
hivyo ni vyakula vya uswahilini. kwa kifupi ni kwamba, hapo hamna chakula bora hata kimoja. vyote hivyo ni hasara kwa mwili.Tule kwa afya zenu ili kumudu kwichi kwich , chagua aina moja tu ya chakulaView attachment 592164View attachment 592165View attachment 592166View attachment 592167View attachment 592169View attachment 592170View attachment 592172View attachment 592174View attachment 592175View attachment 592176
Kwenda zakoSijawahi tamani dudu et
DHL hawasafirishi vyakula tens kama unga ndo usiseme. nilienda wakasema vyakula vina usumbufu sana na ikitokea wakasafirisha basi mpokeaji lazima asumbuke sana maana itabidi mamlaka ya chakula wakapime.nilitaka kutuma unga na Dagaa.Sema nikutumie kwa DHL
Lamkosajihivyo ni vyakula vya uswahilini. kwa kifupi ni kwamba, hapo hamna chakula bora hata kimoja. vyote hivyo ni hasara kwa mwili.
We nae ulizidi ulitaka utume mpaka unga na dagaa?DHL hawasafirishi vyakula tens kama unga ndo usiseme. nilienda wakasema vyakula vina usumbufu sana na ikitokea wakasafirisha basi mpokeaji lazima asumbuke sana maana itabidi mamlaka ya chakula wakapime.nilitaka kutuma unga na Dagaa.
bei zao nazo balaa
labda utume kilo kidogo
Anhaaa,kumbe nyie ndiyo wa diaspora??? Hope mumemuchangia lissu dollariiSomewhere very far! Kusikojulikana
sema hakya MunguNitembelee nitakupikia.
kabisa mboga na chakulaWe nae ulizidi ulitaka utume mpaka unga na dagaa?