scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,685
- 982
Tokea utandawazi uchukue hatamu hasa kwa nchi yetu tendo la kungonoka limekuwa ka fashion katika kila idara hatakufikia ya kutoheshimiana katika marika yetu si mzee si mtoto kila mtu ana hemuka kutaka ile kitu! Utakuta katoto kadogo kanatembea na mzazi wake.. Nakapiga mapigo yaleyale ! Vijiweni story ni zamademu tu duuh jamani tubadilike acheni umbulula wa kuiga tu tuwe na tabia nzuri tubadilike !kila kitu kifanywe kwa wakati wake nasio kujisifu sifa za kijinga jinga tu ...oooh na mpenda hapendeki ....nini na nini acheni hizo wadau ...kuwa na mmoja unaemuamini na mpendane kweli sio kuiga iga tu kuwa na tabia za ajabu ajabu ! Mwishoe yakufike ya kukufika