livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 972
Habari zenu Jf fam.
Nimekuwa nikiwasikia watu (wengi) wakisema ooh...mapenzi hayaeleweki, hayatabiriki, n.k
Mbona kwa upande wangu naona yanaeleweka vizuri tu.
Mkiwa katika mahusiano kuna mambo yanayokuepo kama kiunganishi kwenu.
Mfano: unaweza kumpenda mtu nae akakupenda (ujue hapo mmeshibana kwenye mapenzi).
Ama umpende asikupende (ujue hapo wewe ndio utavumilia uliependa)
Usimpende yeye akupende (yeye ndio atakuwa mvumilivu)
Pia mkazoeana tu lakini hakuna anaempenda mwenzie (kila mtu hajali ya mwenzie yaani itakavokuwa poa tu)
Lakini kuna kutenda mtu au kutendwa na mtu (kusikitika au kupotezea inategemea nani kamtenda mwenzie)
Ikiwa mtu unayajua haya yote yapo...yanini kusema mapenzi hayaeleweki au hayatabiriki? ???
Bora uchukue mda wako kujiandaa na hali yeyote itakayokuwa sio usubiri kuitegemea hiyo kauli.
(Mapenzi ndio haya na ndivo yalivo na ni kawaida tu)
NB: kauli hii ya hayaeleweki au hayatabiriki naona inawafanya watu wanapopatwa na dhoruba wanadumaa mpaka harakati zingine zinasimama za kimaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app